Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Inashangaza sana ila mkeo ni amezingua yani hakutakiwa kusaliti japo ulimtenga makusudi ni kitu kibaya sana ulifanya ila haiku justify uhuni wa kwenda kuliwa
 
Dah nakuona unavyohamia kwa mchepuko leo jioni.
Mtu yeyote mchepukaji adhabu yake ni taraka awe mwanamke awe mwanaume.

Sasa mleta mada wewe mchepuko wako neema unaona ni sawa ila yeye kwa Livingstone sio sawa.life is not fair.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we fala umenifanya nicheke kiboya sana japo inauma mno mwamba alivofanyiwa na mke wake aisee, najaribu kukivaa viatu vyake vinanipwaya aisee
 
Mlilala kitanda kimoja?ulipiga?

Ndio tumelala kitanda Kimoja sikuwa na hamu wala hisia nae na yy alikuwa akilia tu mara nyingi kuomba nimsamehe huku akisistiza yote nimesababisha mimi na hawez kunisaliti

kuhusu msg nilizoona kasema nikweli walitumiana na hata picha pia lakin hajawahi kumfanya sex nae na aliomba nimwangalie km kabadilika chochote huko chin,
Ukiangalia evidence na planning yote ni ngum sna kusema jamaa kamwacha hata chupi alio vaa jana

Nilinunua mimi ni mpya zile huwa hazivai marakwamara lakin jana alivaa , kweli mwizi hataakamatwe na kitu bado atabisha tu, kwahiyo dizain km mimi ndio nakosa tena.
 
Kwani hairuhusiwi mke kuomba taraka akaachika bila aibu?unamlipizia mwanaume mwisho wa siku una aibika.
Mnaenda beba mimba manazileta kwenye ndoa bila woga umedhulumu uliko chepuka unamdhulumu mumeo unamdhulumu na mwanao mwenyewe kwa kumpa baba feki

Dah mtapata tabu sana mkifa
 
Dah nakuona unavyohamia kwa mchepuko leo jioni.
Mtu yeyote mchepukaji adhabu yake ni taraka awe mwanamke awe mwanaume.

Sasa mleta mada wewe mchepuko wako neema unaona ni sawa ila yeye kwa Livingstone sio sawa.life is not fair.

Mke kuliwa inauma sna hata mtaani wakijua ni aibu kubwa tofaut na mimi na huyo mchepuko
 
Hebu tulia huko muendeleze ndoa yenu, kiherehere chako cha kurudi bila taarifa tena baada ya maujinga yako kubuma ndio kimekuponza.
 
Lazma alipiga [emoji23].. Mwanamke akijua amekosea anajitega balaa na ukishapga tu tayar hasira zote kwishney

Ilikuwa ni usiku wa ngumi na huzuni tu ndani nisingeweza
 

Mkuu hukushika hata kuinusa [emoji57][emoji57][emoji57] ulizira kabisa
 
Mie pia nasimama na mkewe, maan huyo mkewe amefanya hivyo kwa kulipiza kisasi kwa matukio ya mumewe, maaan amesema mkewe kataja wanawake anaohisi anatembea nao, na ukweli kawapatia wote sasa hapo nn?
Mkewe hana kosa lolote, tiba ya usaliti ni kisasi.
Ndio shida ya vijana wa leo. Mnaanzisha mahusiano ya ngono bila kujitengenezea sheria zetu (KATIBA YA MAHUSIANO YENU).

Kwamba hamjui miiko, wajibu na majukumu. Kiasi kwamba mambo yakienda harijojo hamjui mfanyeje.

Mtaumia na kuumizana kila uchao. Jitengenezeeni utaratibu wa "kanuni na taratibu" za mahusiano yenu ya ngono. Mtafurahi!
 
Usimuache mkeo ndugu yangu , kwa uliyoyasema inaonesha kweli kabisa tatizo lilianzia kwako , japo bado haikuwa sababu ya mwanamke. kuchepuka .

Pili inaonesha huyo living sijui nani , alikuwa akimsumbua mkeo kwa muda mrefu na huwenda Mkeo alikuwa akijitahidi kumkwepa , lakini hicho ndio kipindi ambacho na wewe haukumtamini , na kumuona wa kawaida .

Hivyo huenda kwa sasa una hasora bado , jope muda hasira zishuke then kaeni muongee Amini nakwambia kama wote mtakubali makosa yenu na kujirekebisha na mkasameheana hakika mtakuwa na furaha na ndoa yenu huenda zaidi ya ilivyokuwa mwanzo .

mngekuwa wapenzi tu ningekushauri vingine , lakini kwasababu mnawatoto na mpo kwenye ndoa hilo ni swala la kuvumiliana changamoto zenu , ukimuacha atakae athirika sio watoto tu hata wewe pia .

Mwisho kwa vijana kama livingstone ambao hamheshimu ndoa za watu , nyie ni wakupigwa mawe mpaka mfe .
NIKUTAKIE MAISHA MEMA
 
Ubarikiwe sana, na umeongea jambo la ukweli kabisaa.
 
Ndoa ngumu guys ,yaani acha tu tunapitia mengi sana.mwisho wa siku namalizia kusema , wanawake ni viumbe vya ajabu kuliko tunavyofikilia
Ndoa ngumu ukiwa mapepe muhimu onyesha tabia nzuri kwa mkeo,hakikisha hana wasiwasi na wewe hata kidogo mpe uhuru wa kutumia vitu vyako especially simu.

Huu ujinga wa simu unavuruga sana ndoa za siku hizi tujiulize,mkiwa kama ni familia moja kwanini mfichane passwords za simu zenu?zina nini cha ziada mpaka ziwe siri kwa kila mmoja wenu?nakuhakikishia hakuna ndoa aminifu awe mke au mume kukishakuwa na ufichaji wa namba za siri za device zao lazima siyo waaminifu kwa wenza wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…