Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Inashangaza sana ila mkeo ni amezingua yani hakutakiwa kusaliti japo ulimtenga makusudi ni kitu kibaya sana ulifanya ila haiku justify uhuni wa kwenda kuliwaShukrana mkuu ulio sema ni kweli kabisa mkuu na kwa asilimi 100% ntakuwa nimechangia yeye kunisaliti pia
Nakumbuka wakati tumeanza mahusiano nilimpenda sana na mda wote tulikuwa wote hata show nilikuwa nafanya hata mara 5 kwa siku ni mda wote tu kufanya na ndio maana hata watoto wetu wamepatikana mapema sna
Ila baada ya kuwa na mtoto wa pili sikuwa na ham nae sna na show ni mara mojamoja tu kwa week hata mara moja na zile msg na kuchat marakwamara sikuwa namtumia na nikiona msg yake napotezea mpka iwe ya muhim
Kiufupi ndani kuanzia 2020 hakuwa na mvuto tena kwangu tulishi tu kawaida ila sio romantic km zaman mpka sometimes ananiuliza mbona namfanyia hivo but sikujali
Kuna mdada kazin kwetu ni mpya kwny kaz na ni mdogo ndio alinivutia so mapenz yangu nikahamishia kwa mchepuko kwahiyo
huyo jamaa alie chepuka nae jana nakumbuka since mwaka jana niliona msg yake lkn sikuzingatia kabisa nikajisemea tu sasa hiv analea huyu nan anaweza kumtaka kiufupi alikuwa bize na watoto ukiangalia wamefatana
Sasa jana ilivyo tokea ndio nakumbuka huyu mtu hakuanza juz na wife kumsifia ni km alikuwa akimpa faraja yale mambo nilio kuwa nikiyafanya kwa wife jamaa ndio alichukua nafas
Nimewaza mambo mengi sana why kitu kama hiki kimetokea kulingana na heshima yangu kwny jamii na watu wanavyotuona tunavyofurahia maisha na wife na watoto wetu kila mtu atatamani kuiga
But wife amekuja kuliwa na kijana mshinda gym tu na na kuvuta bangi.