Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umejua kinivunja mbavu lol.
 
Ila ni ufahari mwanaume kuwa mzinzi 🤔
Hapana. Uzinzi na dhambi yoyote ni jambo baya kwa mtu yeyote bila kujali jinsia yake.
Tatizo mwanamke akiachia papuchi huzamia jumla. Mwanaume anaweza kufanya sex kwa kujipa raha tu huku moyo wake ukabaki nyumbani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umejua kinivunja mbavu lol.
Mijanaume mingine ni wapuuzi sana, ukute ana matukio ya kutosha yaliyomfanya mke wake achepuke halafu anakuja hapa apate ushauri na huruma kutoka kwa mabaharia wenzake.
Simtetei mke ila kuweka wazi kuwa na yeye ana mchepuko na wala hajutii ni ukosefu wa akili.
Amekomeshwa na hata akiachana na mke wake kidonda alichokipata hakitafutika kamwe. Wazinzi wote they deserve each other.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Unafikri jana angekua kapokelwa na mchepuko angeyajua haya ya mke kurud saa sita 6 kuna muda mchepuko unasaidia kulinda ndoa imagine sasa hv ndoa inaelekea kufa kisa mchepuko kapitiwa na usingizi hii jeur ya kulala na babe wake anarud kaitoa wapi?
 
Hapana. Uzinzi na dhambi yoyote ni jambo baya kwa mtu yeyote bila kujali jinsia yake.
Tatizo mwanamke akiachia papuchi huzamia jumla. Mwanaume anaweza kufanya sex kwa kujipa raha tu huku moyo wake ukabaki nyumbani
Umeweka na mstari wa biblia kuonyesha mke ana makosa, hujazungumzia uzinzi wa mwanaume halafu hapa unanijibu kidunia dunia.
Hivi ni kwamba hujawahi ona mwanaume kahamia kwa mchepuko moja au unajitoa tu ufahamu? Au ndo kusema wanaofanya hivyo wana homones za kike?
 
UKAPIGA NGUMI YA USO.
 
makini sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kumbe na wewe unachepuka na amekutajia haon wanawake unaotoka nao na wewe umekubali it's true Sasa hapo si ngoma droo we unalalamika nini Sasa?
 
Jamaa akakufata kabisa, dah ulizidi upole mkuu
 
Ishawahi nikuta hii aisee sitakaa nisahau japo nilikuwa nashuhudia moves za jamaa toka anaingia! Mpaka demu anabeba viatu vyake anaviingiza ndani! Nikawakurupua kabla hawajaanza sex
Hahahaha daaah nimecheka hatariiii
Aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…