Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Chukua maamuzi magumu...
Mwanamke akianza kuliwa haachi...ataliwa tena na tena ...ukimsamehe baada ya miezi tu analiwa na jamaa mwingine...Tulia wanawake waliotulia wapo utapata tu
 
Hiyo ni tabia yake tu sawa na ngozi hata upake cream utakuwa mweupe kwa muda mfupi baada inalidi kuwa nyeusi ndo tabia ilivyo.
 
Pole sana, nakushauri pitia hospitali kampime afya na mimba usije ukalea watoto wasio wako. Kama yupo salama endelea nae tu, ikitokea otherwise hutakuwa na budi
 
Nakushauri mrudishe kwao kisha chukua msg za huyo jamaa ziweke kwenye cm yako mtumie huyu pimbi. Ama mpigie na ujitambulishe ukiwa mafia sana mtafute na umjue mke wake usawazishe mchezo. Hii tabia ya kusema sijui nina watoto na tumetoka nae mbali sijui sijui tumefanya mambo mengi ni ujinga sana. Hapo hakuna tena uaminifu, kosa kubwa hapo la nyie wote ni wazinzi na waongo. Unawezaje kuishi na mtu muongo na malaya? Nyie endeleeni na dhambi zenu mtajuta siku si nyingi. Kwanza unakuwaje na mkeo anakuwa na shoga. Hizi ndoa sijui zina nini endeleeni kuoa huu ujinga nikisikia najikalia mbali kabisa na ndoa maana gunia za mkaa zinaweza kuhusika. Muache huyo mwanamke na ww acha umalaya kama unataka kuhalalisha mke wa pili fanya hivyo.
 
Hivi huu ushauri umetoa ukiwa timamu au una haha? Yaan amuache mkewe, huku yeye aendeleze uzinzi na mchepuko wake? Sasa hapo atakua anafanya nn cha maan?
Ifike wakati tuangalie usawa kwa pande zote mbili. Khaaaaah
Hamna uswa hapa duniani bi mdada,kitendo cha Mungu kuumba watu 2 na kumpa kila moja majukumu take ndipo neno usawa liliondoka hapo.
 
Chukua maamuzi magumu...
Mwanamke akianza kuliwa haachi...ataliwa tena na tena ...ukimsamehe baada ya miezi tu analiwa na jamaa mwingine...Tulia wanawake waliotulia wapo utapata tu
Ukweli ndoo huo haya maswala ya kisema sijui watoto ndo yanatuua wanaume.kwani yeye wakati anachepuka hakuona watoto ujinga huo
 
Duuuuuhhhhhh!!!
Vipi mkuu, mbona umekua harsh hivi? Hizo imagination ulizomwambia jamaa azii imagine ni hatari sana. Muonee huruma
 
Bata analea watoto wakiwa nyuma. Achana na huyo mwanamke kama unampenda kisingizio watoto endelea.
 
Alikuwa mke wa ndoa au mwanamke wako!!
 
Mkuu pole sana piga moyo konde harafu songa mbele be a man kisha.

Pigia Yesu Makofi πŸ‘πŸ‘
 
Mkuu pole sana piga moyo konde harafu songa mbele be a man kisha.

Pigia Yesu Makofi πŸ‘πŸ‘
 
Vuta picha wewe mwanamke mwenzake hali uliyojiskia je mumewe akisikia atajisikiaje?
 
Mbinguni huendi[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…