Kweli kabisa. Pia jamaa aseme wazi kama nakala anayo.Hongera Mkuu.
Kama Wakili amekupa nakala ya matokeo, itunze sehemu salama. Naamini atakuwa amekuambia namna hiyo nyaraka ilivyo sensitive, kama hajakupatia pia inabidi umuelewe Mkuu sababu hayo majibu sio yako ni ya kwake Wakili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sipati picha wanaume ndio wangekua wabeba mimba! Sijui watoto wangapi wangekua sio wa wanawake[emoji23]
Umeniwahi nilitaka kunwambia hili nleta madaKuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mondi +mobeto = nengaMajibu ya DNA Huwa siyo ya kweli..in most cases huwa wanaangalia Zaidi ustawi wa mtoto..coz wanaangalia wakikiuambia wewe siyo baba hao watoto wataishije...refer case ya Diamond na Hamisa
Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.
Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.
Ciao
Majibu ya DNA Kwa Tanzania hii wanasema yanaweza yakawa si sahihi. Ili kuepusha migoro wanakuambia ni wa kwako.Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.
Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.
Ciao
Nimewaza hivyo, eti madaktari huwa wanakuambia ni wako uendelee na ujinga wakoUna uhakika ni wakwako kweli!?
Wacha nisikuondolee raha zako🤣🤣🤣
Ukute mchepuko wa mkeo,unamwambiaga mkeo amzalie mtoto,ila hofu inamfanya (mchepuko) asimpe mimba mkeo,kumbe mume wala huna wasiswasi na ukute mkeo anajua kua huna shida,ila michepuko yake ndiyo insmfelisha,ndoa hizi bhana.Kati ya mambo sitokuja fanya maishani mwangu ni kujaribu kupima DNA kutafuta uhalali wa mtoto wangu kama ndie au sie..
Siku ukigombana na mkeo ugomvi wa maana ndo utajua, au track simu ya mkeo ili upate mawasiloano yake yote ndo utaujua ukweli...Yes... nilijua hilo kabla, wakili aliesimamia ni zaidi ya ndugu kwangu, kama na huyo kanidanganya basi kweli hivi viumbe nimeandikiwa kuvilea
mradi tu kumpunguza mwenzio Handas! AHAAHAHAHHAHAHA nimecheka sana! Hata mimi kama mtu wa maabara wewe, nianze tu kusema huyu mtoto sio wako na wewe ndo mume na ndo baba umemlea toka anazaliwa! Weeee nakupa tuuuuu!Kuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
kabisa!Hadi unapima DNA kuna shida sehemu
Ndio maana nikamwambia hapo angekua na uhakika kama huyo mpimaji wa maabara either ni ndugu yake au jamaa wake wa karibu!! Otherwise kazi anayo badomradi tu kumpunguza mwenzio Handas! AHAAHAHAHHAHAHA nimecheka sana! Hata mimi kama mtu wa maabara wewe, nianze tu kusema huyu mtoto sio wako na wewe ndo mume na ndo baba umemlea toka anazaliwa! Weeee nakupa tuuuuu!