AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Kama umepima TZ umedanganywa wale Wanasema Yes kwenye kila chunguzo. Hawataki watoto yatimaMiezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.
Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.
Ciao