Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

Na hiyo ndio hekima ya MWANAUME

Watoto wenyewe unaweza kuriiiinga ati unafanana nao kumbe dingi yako alishapita na wife

Haya mambo yaacheni vinginevyo mtapasuka moyo
Mm siwezi kwenda kupima DNA, lakini mtoto akizaliwa na akawa na viashilia vya wazi vinavyo onesha kuwa huyo mtoto sio wangu kwakweli siwezi kuvumilia upumbavu nakutimua na litoto lako.
 
Kwa wote mnaopinga hii issue ngoja niwapeni summary ya mbinu nlotumia. Huwa natoa mbinu kama hizi mara chache saaaana ila kwa kuwa mnaendelea kukataa ngojeni niwapeni siri ya mafanikio, hii itawasaidia wengine pia

Nilitaka kupima watoto wawili, mkubwa ana miaka mitano mwingine ana miaka miwili. Nikaingiza mmoja katikati asie wangu bila hata wakili wangu kujua, huyo dogo ana miaka minne. Hivyo sampuli zikapelekwa za watoto watatu. Majibu yakaja wale wawili ni wangu lkn huyu mwingine sio wangu.

Mnaweza kujiuliza kwa umri huo kwa nn nisiangalie kufanana, watoto ni wa kike na wamechukua kwa mama zao copy right kabisa (mama zao ni tofauti).

Siwezi jibu comment moja moja Cc mama D dronedrake Upepo wa Pesa na wengine mnaoendelea kupinga.
 
KAMA HUJUI HATA MAJIBU YA DNA WAMEKUPA YA UONGO...
Ni kama sikuhiz matokeo ya UKIMWI ukienda kichwa kichwa una presha wakikukuta una ngoma wanakuambia HUNA UKIMWI urudi baada ya miezi 3...
Hata maralia ukipima unaambiwa hauna lkn Dr anakushauri umeze dawa za maralia na unapona.Majibu ya DNA ni zaidi ya majibu ya ukimwi, Bora ukimwi ukiambiwa unao unaweza kujiliwaza na vidonge vya kufubaza vurusi lkn DNA sijui utajiliwaza na nini ukiambiwa mtoto si wako.
 
Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.

Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.

Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.

Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.

Ciao
unaonekana ni mtu mwenye asili ya ubinafsi rohoni mwako, wewe kulelea mtoto ambao si wako waona shida na je wakwako utakapokufa nani awalele na hizo shida ulizosema nani atazibeba utakapokuwa haupo

Hivi unajua shida kiasi gani uliowap wazazi wako toka ukiwa mdogo mpaka leo hii

World wouldn't be a better place if we had people like you .....
 
Hongera sana mimi natarajia kupima next month.
 
unaonekana ni mtu mwenye asili ya ubinafsi rohoni mwako, wewe kulelea mtoto ambao si wako waona shida na je wakwako utakapokufa nani awalele na hizo shida ulizosema nani atazibeba utakapokuwa haupo

Hivi unajua shida kiasi gani uliowap wazazi wako toka ukiwa mdogo mpaka leo hii

World wouldn't be a better place if we had people like you .....
Ndio mimi ni mbinafsi mkuu.

Hebu jiulize wewe sio mbinafsi? (Usinijibu, jijibu wewe mwenyewe)
 
Back
Top Bottom