92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Bora umeandika hiiKuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umeandika hiiKuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
Kaza tu fuvu....Utazaa na sabuni
Ngoja tukae kimya.
Hao watoto wamefanana na upande wa Mama?Yes... nilijua hilo kabla, wakili aliesimamia ni zaidi ya ndugu kwangu, kama na huyo kanidanganya basi kweli hivi viumbe nimeandikiwa kuvilea
Mm siwezi kwenda kupima DNA, lakini mtoto akizaliwa na akawa na viashilia vya wazi vinavyo onesha kuwa huyo mtoto sio wangu kwakweli siwezi kuvumilia upumbavu nakutimua na litoto lako.Na hiyo ndio hekima ya MWANAUME
Watoto wenyewe unaweza kuriiiinga ati unafanana nao kumbe dingi yako alishapita na wife
Haya mambo yaacheni vinginevyo mtapasuka moyo
Una internal conflict ndani yako haya muombe mkeo na wanao msamaha Kwa ulichokifanya Kwa kuwa na hisia mbaya za kiuongo
DNA inasema sio wako lkn yeye anasisitiza ni wako kazi inabaki kwako kukubaliana na machine au mke wako au kutafuta machine nyingine nchi jirani.Kati ya mambo sitokuja fanya maishani mwangu ni kujaribu kupima DNA kutafuta uhalali wa mtoto wangu kama ndie au sie..
Watoto wako wana umri gani?Mkuu nina imani na wakili aliosimamia hili swala
Hata maralia ukipima unaambiwa hauna lkn Dr anakushauri umeze dawa za maralia na unapona.Majibu ya DNA ni zaidi ya majibu ya ukimwi, Bora ukimwi ukiambiwa unao unaweza kujiliwaza na vidonge vya kufubaza vurusi lkn DNA sijui utajiliwaza na nini ukiambiwa mtoto si wako.KAMA HUJUI HATA MAJIBU YA DNA WAMEKUPA YA UONGO...
Ni kama sikuhiz matokeo ya UKIMWI ukienda kichwa kichwa una presha wakikukuta una ngoma wanakuambia HUNA UKIMWI urudi baada ya miezi 3...
Nenda kapime Kenya. Au kubali ni wako.Ndio, na ndo maana inakua vigumu, na shida wote ni wa kike
unaonekana ni mtu mwenye asili ya ubinafsi rohoni mwako, wewe kulelea mtoto ambao si wako waona shida na je wakwako utakapokufa nani awalele na hizo shida ulizosema nani atazibeba utakapokuwa haupoMiezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.
Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.
Ciao
Hongera sana mimi natarajia kupima next month.Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi for a while, hahahahahaaa.
Naendelea kuwashauri wanaume wenzangu kuzingatia kupima DNA za watoto wenu, kulea mtoto asie wako watakuja kukuletea shida ukubwani.
Ciao
Ndio mimi ni mbinafsi mkuu.unaonekana ni mtu mwenye asili ya ubinafsi rohoni mwako, wewe kulelea mtoto ambao si wako waona shida na je wakwako utakapokufa nani awalele na hizo shida ulizosema nani atazibeba utakapokuwa haupo
Hivi unajua shida kiasi gani uliowap wazazi wako toka ukiwa mdogo mpaka leo hii
World wouldn't be a better place if we had people like you .....