Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Ungeleta uboya ningekuchekaLina uwizi wa kibouyah
[emoji23][emoji23]
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee
Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
[emoji23][emoji23]
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
[emoji1787][emoji1787] wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app