Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Lina uwizi wa kibouyah
[emoji23][emoji23]
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee

Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
[emoji23][emoji23]
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
[emoji1787][emoji1787] wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
Ungeleta uboya ningekucheka

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kama upo mwanza sema eneo lako la biashara niwe nakutembelea na kununua matunda iwe tu Ijumaa kabla ya sabato
usiende kumtongoza halafu akukubalie mwisho wa siku umuache njia panda aje tena na mrejesho wa kulialia mtaji umeliwa na yeye mwenyewe kaliwa.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Lina uwizi wa kibouyah
😂😂
Huu wizi ulinikuta 2019…nimetuma CV hazijapita hata nusu saa napewa jibu ati nimepata kazi… wakataja na gross salary, nyie nyieee

Mie nikashtuka,, mbona imekuwa rahisi hivi? haya mara simu hii hapa inapigwa, kupokea naambiwa ofisi ziko Posta, kukata ticket za ndege.. nimechaguliwa sbb ndo fresh from school akili bado iko on point nitafundishika kirahisi.
😂😂
Mara ooh kuna pesa unatakiwa utume za uniform… nikasema sawa, ongea na mlezi wangu huyu umpe gharama zote, nikapasi simu kwa bro. Ni bro akawaambia fanyeni kila kitu mshahara wake wa kwanza mtauchukua wote.
🤣🤣 wakakata simu, baadae wakapiga wakaanza kunichamba.
nimecheka balaa...kudos kwa bro aise
 
mi simwonei aibu maana alikula hela yangu kwa kujifanya muhitaji, alikuwa anaitwa Daynamo na Id yake ikaja kuunganishwa na Mkogoti, huwa wanakuwa na Id nyingi anajifanya anakurefer kwa mtu mwingine kumbe ndiyo yeye huyohuyo.
Mimi alikuwa ni mdada, aliandika Uzi mrefu Sana kwamba kwa tatizo lake lilipofikia anaona tu bora afe.... Nikaguswa nikamfata pm kumuuliza Shida Nini akaniambia amepata ajali amevunjika mguu hawezi hata kutembea na hela hana ya kwendea hospital, nikaona story kama haimake sense flani hivi, nikamuhoji hoji akabadili akasema ni mama yake kijijini na sio yeye.

Nikaanza kuwaza huyu atakua ni tapeli, nikamwambia nitakusaidia hatakama ni wewe na mama yako wote mpo ndani ya uwezo, nendeni hospitali wawape control namba niwalipieni, akakataa akaanza na kunisema eti Kama Sina hela au Kama sitaki kumsaidia nisimchoshe anaadika huku anaumwa... Nikamwambia tu sawa nikaachana nae., Baada ya sikumbili nafungua pm nakutana na matusi hayo page nzima
 
Habari Za uzima Wana jamii wenzangu Mimi ni Yule mdada nilieleta wazo langu kuhusu biashara Kwa mtaji mdogo WA laki tatu Tu..mashukuru nmepata mawazo mazuri nmefatilia Kwa utulivu nanimesoma maoni ya kila mtu ..maoni yangu Ni nmeamua sasa kuuza biashara ya Matunda Na genge mpaka sasa nmefatilia process ya kupata eneo nmepata sasa nafatilia utengenezaji wa Banda la kawaida Tu ambalo naomb Mungu lisimalize laki moja Na mtaji wangu Nataka ubaki Kama laki moja Tu iyo ndo nitaanza nayo matengenezo mengin ntatengeneza Kadri Mungu atavyonijalia Asante San mmenifungua mawazo nilikuwa Nawaz Sana ...kitu chakufanya kila nikiwaza nashindwa kutoka Na mtaji kuwa Ni changamoto.. NB tuweni Makini umu ndani sio wote wema wakati nipo kwenye mchakato alitokea mtu uku DM akahaidi kunipa kazi nilifurahi Sana kazi yenyew Ni ya sheli Na akadai IPO arusha Kama kawaida mimi nilimsikiliza ..akaniunganisha Na meneja feki ILi wanitapeli ela Ni story ndefu siwez kueleza Lakin mwisho wa siku uyu boss akaomb ela ya uniform Kama sh laki 1 Na elf 30 ..Dah Mungu Yuko upande wangu sikufanikiwa kutuma nadhani ningetuma Leo ningekuwa Na majonzi mapya ...my take ..mtu kaomba ushauri afanye nini ILi ajikomboe Na Maisha Na utegemezi sasa usiwe Tena chanzo cha kumrudisha nyuma uyu mtu Asanteni Na nawatakia siku njema
Nachelea kusema usipomtaja huyo bwana utakuwa umeusaliti umma wa Jamiiforum utakuwa umeniumiza sana hata mimi kiasi cha kuianza jumatatu na hangover ya pombe na akili iliyokosa nuru sababu ya mada fiche yako
 
Humu JF nimewahi kutapeliwa laki 2.

Mwaka 2014 nilipost tangazo la kumtafuta Dada yangu.

Wakanipigia watu waliodai dada yupo na ana kesi yupo mahabusu na wanahitaji fedha ili wamtoe.

Wakaniunganisha na dada (feki) analia ananiita kaka.

Anadai ana mtoto amemwita jina la baba yangu.

Nilituma hela ili dada atoke.

Baada ya kutuma hela nilianza kupata mashaka. Kupiga simu haipatikani.

Namba ilisajiliwa kwa jina la Henry Ltd

Nikajiona mjinga sana laki 2 imeenda hivi hivi.

Matapeli wa JF mlaaniwe na mbingu mtaisikia.
 
Mimi alikua ni mdada[emoji2],, aliandika Uzi mrefu Sana kwamba kwa tatizo lake lilipofikia anaona tu bora afe.... Nikaguswa nikamfata pm kumuuliza Shida Nini akaniambia amepata ajali amevunjika mguu hawezi hata kutembea na hela hana ya kwendea hospital, nikaona story Kama haimake sense flani hivi,, nikamuhoji hoji akabadili akasema ni mama yake kijijini na sio yeye.. nikaanza kuwaza huyu atakua ni tapeli,, nikamwambia nitakusaidia hatakama ni wewe na mama yako wote mpo ndani ya uwezo, nendeni hospital wawape control namba niwalipieni, akakataa akaanza na kunisema eti Kama Sina hela au Kama sitaki kumsaidia nisimchoshe anaadika huku anaumwa... Nikamwambia tu sawa nikaachana nae., Baada ya sikumbili nafungua pm nakutana na matusi hayo page nzima
Pole ndo uwazoee binadamu ndivyo walivyo

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mimi alikua ni mdada😃,, aliandika Uzi mrefu Sana kwamba kwa tatizo lake lilipofikia anaona tu bora afe.... Nikaguswa nikamfata pm kumuuliza Shida Nini akaniambia amepata ajali amevunjika mguu hawezi hata kutembea na hela hana ya kwendea hospital, nikaona story Kama haimake sense flani hivi,, nikamuhoji hoji akabadili akasema ni mama yake kijijini na sio yeye.. nikaanza kuwaza huyu atakua ni tapeli,, nikamwambia nitakusaidia hatakama ni wewe na mama yako wote mpo ndani ya uwezo, nendeni hospital wawape control namba niwalipieni, akakataa akaanza na kunisema eti Kama Sina hela au Kama sitaki kumsaidia nisimchoshe anaadika huku anaumwa... Nikamwambia tu sawa nikaachana nae., Baada ya sikumbili nafungua pm nakutana na matusi hayo page nzima
ni nani huyo? kha😆
 
Back
Top Bottom