Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Mrejesho mtaji wa laki 3: Nimeamua kuuza biashara ya matunda na genge

Humu JF nimewahi kutapeliwa laki 2.

Mwaka 2014 nilipost tangazo la kumtafuta Dada yangu.

Wakanipigia watu waliodai dada yupo na ana kesi yupo mahabusu na wanahitaji fedha ili wamtoe.

Wakaniunganisha na dada (feki) analia ananiita kaka.

Anadai ana mtoto amemwita jina la baba yangu.

Nilituma hela ili dada atoke.

Baada ya kutuma hela nilianza kupata mashaka. Kupiga simu haipatikani.

Namba ilisajiliwa kwa jina la Henry Ltd

Nikajiona mjinga sana laki 2 imeenda hivi hivi.

Matapeli wa JF mlaaniwe na mbingu mtaisikia.
Polee sana
 
Habari Za uzima Wana jamii wenzangu Mimi ni Yule mdada nilieleta wazo langu kuhusu biashara Kwa mtaji mdogo WA laki tatu Tu..mashukuru nmepata mawazo mazuri nmefatilia Kwa utulivu nanimesoma maoni ya kila mtu ..maoni yangu Ni nmeamua sasa kuuza biashara ya Matunda Na genge mpaka sasa nmefatilia process ya kupata eneo nmepata sasa nafatilia utengenezaji wa Banda la kawaida Tu ambalo naomb Mungu lisimalize laki moja Na mtaji wangu Nataka ubaki Kama laki moja Tu iyo ndo nitaanza nayo matengenezo mengin ntatengeneza Kadri Mungu atavyonijalia Asante San mmenifungua mawazo nilikuwa Nawaz Sana ...kitu chakufanya kila nikiwaza nashindwa kutoka Na mtaji kuwa Ni changamoto.. NB tuweni Makini umu ndani sio wote wema wakati nipo kwenye mchakato alitokea mtu uku DM akahaidi kunipa kazi nilifurahi Sana kazi yenyew Ni ya sheli Na akadai IPO arusha Kama kawaida mimi nilimsikiliza ..akaniunganisha Na meneja feki ILi wanitapeli ela Ni story ndefu siwez kueleza Lakin mwisho wa siku uyu boss akaomb ela ya uniform Kama sh laki 1 Na elf 30 ..Dah Mungu Yuko upande wangu sikufanikiwa kutuma nadhani ningetuma Leo ningekuwa Na majonzi mapya ...my take ..mtu kaomba ushauri afanye nini ILi ajikomboe Na Maisha Na utegemezi sasa usiwe Tena chanzo cha kumrudisha nyuma uyu mtu Asanteni Na nawatakia siku njema
Ungechukua ushauri wangu saa hizi ungekua unajipigia pesa bila stress
 
Back
Top Bottom