pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Do not boast before achievements, hata yule wa kwanza alikuahidi ndoa, but congrats.Habari zenu,
Nilileta habari ya kutafuta mume soma; Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa Napenda kuwashukuru wale wote milojitokeza kwa nia nzuri au mbaya na kubwa namshukuru Mungu wangu kwa nikipatia mume bora, kutoka hapahapa JamiiForums, nilimpata mume na karibuni tutafunga ndoa. Mtakaribishwa tena kwenye harusi yetu.
Asanteni wote
Kukuuliza swali ndo unijie moto kama mwiko wa pilau, kwa haya majibu unaonekana jinsi ulivyo empty huko kichwani......na hata huyo unayemuita mume bora yuko anakuchora tu jinsi 'mke bora' ulivyo na majibu ya chooni. Good luck.Jifanye mjuaji ,Hadi kwa mungu utajiona ww mjuaji ,loh Asante pia,
hahahaaa, siko hivyo na kama nimekuuthi niwie radhiKukuuliza swali ndo unijie moto kama mwiko wa pilau, kwa haya majibu unaonekana jinsi ulivyo empty huko kichwani......na hata huyo unayemuita mume bora yuko anakuchora tu jinsi 'mke bora' ulivyo na majibu ya chooni. Good luck.
Hayawahusu mambo yetu ya chumbanihakuna cha kuliwa wala nn.pole ww mm aku
Beib usiombe mtu samahani tena mpe makavu yake live...hahahaaa, siko hivyo na kama nimekuuthi niwie radhi
Ni mimi.hongera sana rubylove
twambie alivo maana vile vigezo vyako kipindi unatafuta mh! au ulilegeza kamba maana ndugu zangu kama kina waitu uliwatenga.
Duh yamekuwa hayoKukuuliza swali ndo unijie moto kama mwiko wa pilau, kwa haya majibu unaonekana jinsi ulivyo empty huko kichwani......na hata huyo unayemuita mume bora yuko anakuchora tu jinsi 'mke bora' ulivyo na majibu ya chooni. Good luck.
asante sana kwa ushauri ila nimefanya uchunguzi wa kutosha na kujuana piaNadhani mpaka mlipofikia hakuna haja ya kuficha ID yake,ungeiweka hadharani maana JF hii ni pana kuliko uijuavyo.
Unaweza ona umepata kumbe kuna wenzio wanadanganywa hivyohivyo huko PM's na kujiona wamepata.
Na hasa ogopa ID's mpya...JF ya sasa wageni ni wachache,wengi ni walewale ila wana ID's zao mpya au za kazi zao maalum.
Huu ni ushauri tu,take it or leave it....
Kila la kheri.
asnte sana shemeji!!mjaliwe watoto wengi sanaNi mimi.
uko vizuri dadaNadhani mpaka mlipofikia hakuna haja ya kuficha ID yake,ungeiweka hadharani maana JF hii ni pana kuliko uijuavyo.
Unaweza ona umepata kumbe kuna wenzio wanadanganywa hivyohivyo huko PM's na kujiona wamepata.
Na hasa ogopa ID's mpya...JF ya sasa wageni ni wachache,wengi ni walewale ila wana ID's zao mpya au za kazi zao maalum.
Huu ni ushauri tu,take it or leave it....
Kila la kheri.