Hahahaa antibayotiki himself teh tehHa hahahahaaa aisee nimecheka sana.
Wewe muache,hii ndio JF bwana.
Isijekuwa ndio maana popoma haonekani siku hizi kama kawaida yake,kumbe yuko busy na Le Mbebez.....
Chezea popoma wewe.....Hahahaa antibayotiki himself teh teh
Ayiii wamkatisha tamaa bibie wawatu[emoji87]Kabla hamjafunga ndoa huyo sio mume bibie. Kitulize kwanza
Ooh nimechelewa kuona hili jibuhatujapanga ni lini ndo tupo kwenye mchakato
We ndio bwana harusi mtarajiwa ama tumtazamie mwingine?
Hongereni sana mkuu.... Na ndoa yenu izidi kunogaMimi ni mmojawapo ambaye nimepata mke kupitia JF tumefunga ndoa mwaka jana na hadi sasa tunaendelea vizuri namshukuru Mwenyezi Mungu.Nanyi Inshaallah mutafanikiwa
Ahsante na ameenHongereni sana mkuu.... Na ndoa yenu izidi kunoga
Ilikuaje? Naomba linkChezea popoma wewe.....
Huyu dada hajui tu,kuna mwenzie alitutangazia ndoa huku nisingependa kumtaja,kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Waungwana tunawaangalia tu....
I swear ningekuwa ndio mimi namtaja hadharani,hii inasaidia sana.
Niliahidi,nisingependa kumtaja,am sorry my dear.Ilikuaje? Naomba link
Nimekupa mwayaNiliahidi,nisingependa kumtaja,am sorry my dear.
Sasa huyo ni mume au mchumba? Sema umepata mchumba toka jf! Mkifunga ndoa ndio useme umepata mume toka jf!hatujapanga ni lini ndo tupo kwenye mchakato
Kukurupuka kubaya saaana!hata haelewi maaana ya uchumba wala ndoa,ndio maaana ulimbukeni kwa mabinti wengi,leo hii kapatikana juu kwa juu utasikia nimepata mume,law of marriage Act ya Mwaka 1971 ingetafsiri ya kwao yaliyopo vichwani mwao sijui ingekuwajeSasa huyo ni mume au mchumba? Sema umepata mchumba toka jf! Mkifunga ndoa ndio useme umepata mume toka jf!
Ni mie, Kwani wewe una bwana?We ndio bwana harusi mtarajiwa ama tumtazamie mwingine?
Yes ninae tena bonge la bwana!Ni mie, Kwani wewe una bwana?
Jamani wewe dada una mambo loh!Yes ninae tena bonge la bwana!
Yepi tena?Jamani wewe dada una mambo loh!