Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

Ha hahahahaaa aisee nimecheka sana.
Wewe muache,hii ndio JF bwana.
Isijekuwa ndio maana popoma haonekani siku hizi kama kawaida yake,kumbe yuko busy na Le Mbebez.....
Hahahaa antibayotiki himself teh teh
 
Hahahaa antibayotiki himself teh teh
Chezea popoma wewe.....
Huyu dada hajui tu,kuna mwenzie alitutangazia ndoa huku nisingependa kumtaja,kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Waungwana tunawaangalia tu....

I swear ningekuwa ndio mimi namtaja hadharani,hii inasaidia sana.
 
Mimi ni mmojawapo ambaye nimepata mke kupitia JF tumefunga ndoa mwaka jana na hadi sasa tunaendelea vizuri namshukuru Mwenyezi Mungu.Nanyi Inshaallah mutafanikiwa
Hongereni sana mkuu.... Na ndoa yenu izidi kunoga
 
Chezea popoma wewe.....
Huyu dada hajui tu,kuna mwenzie alitutangazia ndoa huku nisingependa kumtaja,kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Waungwana tunawaangalia tu....

I swear ningekuwa ndio mimi namtaja hadharani,hii inasaidia sana.
Ilikuaje? Naomba link
 
Hongera kwa kuendelea kuwa mbunifu!!Posts zitaongezeka mara dufu,utaruka siku ya ndoa na kusema ndoa inamiaka 2....na kuzalisha scene zingine kadhaaa Miss Actress
 
Narudia tena!!Hongera kwa kuendelea kuwa mbunifu!!Posts zitaongezeka mara dufu,utaruka siku ya ndoa na kusema ndoa inamiaka 2....na kuzalisha scene zingine kadhaaa Miss Actress
 
Sasa huyo ni mume au mchumba? Sema umepata mchumba toka jf! Mkifunga ndoa ndio useme umepata mume toka jf!
Kukurupuka kubaya saaana!hata haelewi maaana ya uchumba wala ndoa,ndio maaana ulimbukeni kwa mabinti wengi,leo hii kapatikana juu kwa juu utasikia nimepata mume,law of marriage Act ya Mwaka 1971 ingetafsiri ya kwao yaliyopo vichwani mwao sijui ingekuwaje
 
JF oyeeeeeeeeeeee
all the best, msije mkarudi mbio kutupiana vijembe hapa kama kina naniliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom