Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

Dah!!hii kama kweli itanibidi nami niende musoma kupitia ngorongoro-serengeti mpaka musoma!!
 
jamaa anajisikia raha kuanzisha uzi na kuucheki ukisambaa. Lete habari na hoja za maendeleo sio udaku. laki.i kwa hili sikulaumu sn kwani umesaidia kuitangaza mbuga yetu
 
ulimuniya , wudesi. SPD 150 ujue hadi idadi ya simba! mmmmh!! nikweli!!!!!!""
 
Dah!!hii kama kweli itanibidi nami niende musoma kupitia ngorongoro-serengeti mpaka musoma!!
 
Kupita kwangu kote mikumi miaka nenda miaka rudi jioni,usiku na asubuhi sijawahi waona wanyama wote hao pamoja ndani ya safari moja.
Vp Kakakuona hukumuona?
 
speed 150-180 ukaona damu mdomoni, ukaona chui sijui na nini juu ya mti? unafurahisha.
 
Yaani unapita speed 150 na unaweza kuona simba ana damu mdomoni!!

Halafu ni nadra sana kuona wanyama hao wote ukiwa unapita Mikumi.

Ila poa tu ngoja tumeze!!
kabobo za maskani baada ya kushiba ugali wa mama kadoda..teh teh teh!.
 
Kupita kwangu kote mikumi miaka nenda miaka rudi jioni,usiku na asubuhi sijawahi waona wanyama wote hao pamoja ndani ya safari moja.
Vp Kakakuona hukumuona?
huyu labda alipita njia za machakani.ile kwa ile highway hapana,katupiga za uso.ila mimi nimehepa zote.😛ray2:
 
Yaani unapita speed 150 na unaweza kuona simba ana damu mdomoni!!

Halafu ni nadra sana kuona wanyama hao wote ukiwa unapita Mikumi.

Ila poa tu ngoja tumeze!!

ninavuka hapo mchana na usiku kwa pikipiki kuona simba labda mara moja kwa safari 15, chui nimesahau mara ya mwisho lini.
 
Nilijuta sana unaweza kuzimia ukimwona simba nilikuwa nadrive huku nawaza zile documentary za WILD LIFE simba alivyokuwa anamrukia nyati hadi leo sijarud DAR nawaza nirudije

Mkuuu tutafutane... Mi nipo Sayari Bar hapa napata supu mda huu.
 
Tango pori flani hv... Duh motochini 180km /hr alafu full kukodoa pembeni... Hili ni tango tuu... Tunalila kwa shida sana.. tufanyeje sasa hakuna jinsi...
 
Kwa mbuga ya Mikumi unaweza kuzunguka kutwa na usiwaone Simba kabisa.
Amekoleza mno na si ajabu alikuwa paranoid.
 

JF Watu waongo! Simba wa Mikumi uwaone tu kirahisi!
afu halafu Baja hiyo 150 unaipataje sasa
 
Habarivyako si ya jweli. Si rahisi kuwaona simba na chui ukipita barabarani Mikumi. Hata hivyo wanyama wa mikumi wamezoea magari na pikipiki hawana madhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…