Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabobo za maskani baada ya kushiba ugali wa mama kadoda..teh teh teh!.Yaani unapita speed 150 na unaweza kuona simba ana damu mdomoni!!
Halafu ni nadra sana kuona wanyama hao wote ukiwa unapita Mikumi.
Ila poa tu ngoja tumeze!!
huyu labda alipita njia za machakani.ile kwa ile highway hapana,katupiga za uso.ila mimi nimehepa zote.😛ray2:Kupita kwangu kote mikumi miaka nenda miaka rudi jioni,usiku na asubuhi sijawahi waona wanyama wote hao pamoja ndani ya safari moja.
Vp Kakakuona hukumuona?
Yaani unapita speed 150 na unaweza kuona simba ana damu mdomoni!!
Halafu ni nadra sana kuona wanyama hao wote ukiwa unapita Mikumi.
Ila poa tu ngoja tumeze!!
mjomba nilikuona ulinipita morogoro sehemu flani hivi nikakupiga picha ya video hii hapa www.youtube.com/watch?v=M3Z3Ro9PdKU
nina mashaka na hii stori
Nilijuta sana unaweza kuzimia ukimwona simba nilikuwa nadrive huku nawaza zile documentary za WILD LIFE simba alivyokuwa anamrukia nyati hadi leo sijarud DAR nawaza nirudije
Kwa mbuga ya Mikumi unaweza kuzunguka kutwa na usiwaone Simba kabisa.Mwongo mkubwa wewe! Mimi ninauzoefu wa kupitia hapo mikumi karibu kila wiki huu upuuzi ulioandika hapa sijawahi kuona. Eti ukasikia na kuona kichaka kikitikisika na simba wametokea na damu mdomoni! Unawezaje kusikia wakati umevaa helmet na pikipiki inaunguruma? Na wakati huo ulikuwa unaendesha umeangalia wapi , mbele au mbugani? Kwa speed ya 150 unaweza kuona huo utumbo ulioandika hapo?
Mwongo wewe.
Mmehabarikaje Wandugu ,
nimerud niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mm nilikuwa natska kupita na Mwanandama wangu ,
niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30
safar inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu ,nimepata kujionea swala makundi kwa makundi,pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba
safari inaendeleaa....,. wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya nikuongeza speed 180 kwan BAJA haina kujali BAMPS,wakatrot kidogo wakarud zao,mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti,
viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara ilibid nisisimame bali nirud nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120 lakin walirud baadhi kunifukuzia lkn kwa kua wote mnamwelewa ndama alivyo ,nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafas nilichofanya nikuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwan wote mnajua mziki wao ulivyo
USHAURI:Jaman ndugu zangun hapo mbugani sio pa kupita jion wala usiku,mm nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena bora nipakie pikipiki kwenye lori ,mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekua nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri
HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA MM NILIPATA PRESSURE SIKU 3
Huyu si muongo alitaka tufahamu ujuha wake tu!