MREJESHO: Uzoefu wangu wa kutapeliwa na member, jihadhari!

Jay_255

Vipi kuhusu instagram watu wanauza simu , viatu. na wanatumia majina sio yao wateja wanapata kutoka mikoani hao pia ni maboya
Ipo nao siku yao, uzuri wa matapeli wanakuvutia kwanza kabla ya kukupiga..!! 😹😹

Kwahiyo huyo member ndo kakuribisha town?!! πŸ˜₯😹😹
 
Sema maisha tu mimi pana jamaa sijawahi kumuona mwaka wa tano huu yupo Tunduma ndie anaetuma hela Kazungula Kwatcha za Zambia kwa gari zote zinazopita na jana katumiwa Tsh sawa na usd 450 kwa Truck moja akaituma hela dk hiyo hiyo kwa agent Zambia na mara nyingi nikifika Tunduma huwa nasahau kumtafuta tujuane kwa sababu shida za pesa anamaliza nikiwa Kazungula ila humu wanaotaka magari wakati sio wateja wapo wengi sana aisee.
 
Sikujua hizi bei nilivyoona ps3 laki 220 nikaona inaweza kuwa sawa
 
Ndio kitu watu hawajui, wanachoangalia ni "this is easy" kumbe ndo anapotea
 
Pili biashara za online mara nyingi unalipa ukishapata kitu ulichokitaka otherwise ukilipa kabla lazima wakunyooshe.
Ukifanya Biashara hivi huchelewi kupoteza kila kitu..., haya mambo ni trust na ukishatengeneza Brand basi wateja utawapata zaidi ni hasara kwa mfanyabishara kutapeli Laki na kupoteza future laki nne..., Ni jukumu la mnunuzi kufanya due diligence na lazima kwa mfanyabiashara kama unataka sustainability kuhakikisha unatatua Kero zote hata kwa wateja wasumbufu kuwepo na mawasiliano sometimes ni bora upate hasara kuliko kuua Brand
 
We jamaa kila siku unatapeliwa wewe tuu humu ndani? πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Amekuibia na BADO unaogopa kumtaja? Uoni kua n ww ni sehemu ya wezi?
Taja username yake ya JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…