Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

Rebuild (Ujenzi Upya):

  • Kisiasa: Ujenzi upya wa kisiasa unaweza kujumuisha kuimarisha taasisi za kisiasa, kuweka mifumo imara ya uongozi, na kuhamasisha ushiriki wa wananchi.

  • Kiuchumi: Ujenzi upya wa kiuchumi unaweza kuhusisha uwekezaji katika miundombinu, kuboresha mifumo ya elimu na afya, na kukuza sekta za viwanda na kilimo.

  • Kiutamaduni: Ujenzi upya wa kitamaduni unaweza kusaidia kuboresha sekta za sanaa, lugha, na utamaduni kwa ujumla, na hivyo kukuza utamaduni wa kisasa na endelevu.
 
Japo siujui umri wake, ila mimi hapa nilipo, licha ya kuhudumu Newsroom for more than 30 years, simfikii!. MMM ni habari nyingine!
P
Nashukuru leo umekiri ndiyo Paschal niliyekufahamu 2016 ukasababisha nikaanza kuifuatilia na JF(nikawa active member) nilikuwa nimejiunga hata sijui nilijiungaje 2014 nikiwa chuo maybe wanafunzi wenzagu waliniunga. PIa nilipenda sn vipindi vyako Star TV mkiwa na jamaa mmoja anaitwa Dotto Buledu kama sikosei ni mashine ya kusaga mawe ile napenda sn kumfuatilia vipindi vyake sema upatikanaji wake ni mgumu sn, 1. Dotto 2. Mayalla 3. Nyanda 4. Odemba 5. Samson Charles 6. Jumanne (Star TV) 2022 kurudi nyuma nilikuwa sikosi vipindi sahivi Nyanda utoto mwingi, Jumanne siasa sn, Mayalla ni kama gari la mkaa now trip shamba trip garage, Dotto sijui alipo wamebaki 1. Odemba ndiyo mtangazaji bora kwa 2023 na Samson Charles EATV
 
Steven Wasira alisema nini kuhusu 4R?

anaeleza namna anavyo elewa kuhusu falsafa ya 4R,
Anaeleza namna alivyoelewa kuwa katika historia yetu tumekuwa na siasa za kujenga uhasama. Lakini 4R ni utatuzi wa tatizo hili.

Huu mtazamo wa kuanzisha 4R hauwezi kutazama katika Historia fupi. Haya mambo ya kisiasa yalikuwepo tangu miaka mingi. Siyo katik awamu fulani. Yalikuwa yakibadilika katika kila kipindi kwa sura tofauti.
Rais anaitazama Historia yetu yote. Siyo Awamu fulani,
Katika vyama vya Siasa kumekuwa na msingi ya uhasama. Tumejengewa na waasisi wetu kutokutofautiana kwa ukabila udini nk.

Naamini Maridhiano ndio msingi wa kwanza. Maridhiano ndio msingi wa kwanza. Kama huwezi kuridhiana huwezi kufanya mambo mengine. Alipoapishwa alionesha kuwa yupo serious katika jambo hili. Hata katika mazingira ya uchumi, historia ya nchi yetu ilikuwa na uchumi shirikishi. Hata katika Maono ya Afrika, Na maono ya Taifa unaona kabisa 4R ndizo zinazofanyika.

Kitu cha kwanza ni maridhiano. Nasiyo cham cha chama. Ni maridhiano na jamii. Ili kujenga uchumi.
Mi nakubaliana na aliyeweka utaratibu wa umri wa kustaafu kwa lazima ni miaka 60.
 
Kutekeleza falsafa ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reform, na Rebuild) inahitaji juhudi kubwa za kitaifa, ushirikiano, na mabadiliko katika sera na utekelezaji. Hapa kuna maoni kadhaa juu ya hatua ambazo Tanzania inaweza kuchukua ili kutekeleza falsafa hii:

1. Kukuza Mazungumzo na Maridhiano:
- Kuanzisha majadiliano ya kisiasa na maridhiano kati ya vyama vya kisiasa na makundi mbalimbali ili kuleta umoja na utulivu wa kisiasa.

2. Kuimarisha Miundombinu ya Ustahimilivu:
- Kuwekeza katika miundombinu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa ili kuongeza ustahimilivu wa taifa dhidi ya mizozo na changamoto mbalimbali.

3. Kufanya Marekebisho ya Kisheria na Kisiasa:
- Kufanya marekebisho ya kisheria na kisiasa ili kuboresha utawala wa sheria, kuongeza uwazi, na kukuza uwajibikaji wa kisiasa.

4. Kuongeza Ushiriki wa Wananchi:
- Kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi na kujenga mfumo wa kisiasa unaowajibika na unaowajali wananchi.

5. Kukuza Uchumi Imara na Endelevu:
- Kuwekeza katika sera za kiuchumi zinazosaidia ukuaji endelevu, kuondoa vikwazo vya biashara, na kuboresha mazingira ya uwekezaji.

6. Kuimarisha Miundombinu:
- Kufanya uwekezaji mkubwa katika miundombinu ikiwa ni pamoja na barabara, reli, umeme, na teknolojia ili kuwezesha maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

7. Kuwekeza katika Elimu na Afya:
- Kutoa kipaumbele katika kuimarisha sekta za elimu na afya kwa kuhakikisha upatikanaji wa elimu bora na huduma za afya kwa wananchi wote.

8. Kuendeleza Utamaduni wa Kizalendo:
- Kuhamasisha na kuthamini utamaduni wa kitaifa na kuhakikisha kwamba maendeleo yanakuwa na heshima kwa tamaduni za asili na historia ya nchi.

9. Kuwezesha Ujenzi Upya wa Jamii:
- Kuanzisha miradi ya ujenzi upya wa jamii kwa kutoa msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa makundi yaliyoathirika na migogoro au majanga.

10. Kuwawezesha Wanawake na Vijana:
- Kutoa fursa sawa na kuwezesha wanawake na vijana kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa.

11. Kujenga Ushirikiano wa Kimataifa:
- Kufanya kazi na jumuiya ya kimataifa kwa ajili ya kubadilishana uzoefu, kupata msaada wa kiufundi, na kupokea misaada ya maendeleo.
 
Japo siujui umri wake, ila mimi hapa nilipo, licha ya kuhudumu Newsroom for more than 30 years, simfikii!. MMM ni habari nyingine!
P
Mkuu Paschal ukiweka uchawa pembeni wewe ni bonge la mtangazaji unajua kujenga point, hata juzi umeogea point sn na watu wakashangilia, ukifanya vizuri sisi tutakupongeza ukianza uchawa wako tunakupa live.
 
Nashukuru leo umekiri ndiyo Paschal niliyekufahamu 2016 ukasababisha nikaanza kuifuatilia na JF(nikawa active member)
Asante sana.
nilikuwa nimejiunga hata sijui nilijiungaje 2014 nikiwa chuo maybe wanafunzi wenzagu waliniunga. PIa nilipenda sn vipindi vyako Star TV mkiwa na jamaa mmoja anaitwa Dotto Buledu kama sikosei ni mashine ya kusaga mawe ile napenda sn kumfuatilia vipindi vyake sema upatikanaji wake ni mgumu sn, 1. Dotto 2. Mayalla 3. Nyanda 4. Odemba 5. Samson Charles 6. Jumanne (Star TV) 2022 kurudi nyuma nilikuwa sikosi vipindi
Asante sana.
sahivi Mayalla ni kama gari la mkaa now trip shamba trip garage.
Kiukweli nimecheka ila huu ndio ukweli wenyewe naelekea 60!, na nina wajukuu 6!.
P
 
Asante sana.

Asante sana.

Kiukweli nimecheka ila huu ndio ukweli wenyewe naelekea 60!, na nina wajukuu 6!.
P
Bado sn, mzee Butiku ana miaka 85 juzi nilikuwa naangalia kipindi cha dak 45 ITV utadhani ana miaka 40 very bright anapangilia point mpk unajiuliza vijana wa leo tumelogwa na nani? utajiri/uchawa/wizi/elimu mbovu/ushirikina ndiyo unaharibu watu, wewe uwezo wako ni mkubwa sn sema umejiingiza kwenye maokoto, mbona juzi kwenye kikao cha baraza la siasa sijui umeongea point haswa, Cheo kaongea point lakini Neema yule mbunge mhaya kaongea ujinga tupu na wajinga wenzake wengine, issue siyo umri issue ni uzalendo.
 
Nashukuru leo umekiri ndiyo Paschal niliyekufahamu 2016 ukasababisha nikaanza kuifuatilia na JF(nikawa active member) nilikuwa nimejiunga hata sijui nilijiungaje 2014 nikiwa chuo maybe wanafunzi wenzagu waliniunga. PIa nilipenda sn vipindi vyako Star TV mkiwa na jamaa mmoja anaitwa Dotto Buledu kama sikosei ni mashine ya kusaga mawe ile napenda sn kumfuatilia vipindi vyake sema upatikanaji wake ni mgumu sn, 1. Dotto 2. Mayalla 3. Nyanda 4. Odemba 5. Samson Charles 6. Jumanne (Star TV) 2022 kurudi nyuma nilikuwa sikosi vipindi sahivi Nyanda utoto mwingi, Jumanne siasa sn, Mayalla ni kama gari la mkaa now trip shamba trip garage, Dotto sijui alipo wamebaki 1. Odemba ndiyo mtangazaji bora kwa 2023 na Samson Charles EATV
Mayalla alipoitwa njaa mambo yake yote yakaharibika.
 
Back
Top Bottom