Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

Madogo Sana,?

Flame- frame
Itirafu- hitilafu
Sheli ya puma- petrol station ya puma

Wana Hali sio nzuri Sana - Wana Hali mbaya

Yaani makosa kibao ya kisarufi na kilugha bado huoni ?
Chukua chupa isage iwe vipande vidogovidogo karibia sawa na mchanga kisha changanya na pilipili halafu chukua glass ya maji unywe huyo mchanganyiko. Itasaidia kukutibu huo upumbavu wako.
 
Chukua chupa isage iwe vipande vidogovidogo karibia sawa na mchanga kisha changanya na pilipili halafu chukua glass ya maji unywe huyo mchanganyiko. Itasaidia kukutibu huo upumbavu wako.
Ndio upeo wa Akili yako ulipoishia
Kilaza period,Rudi shule matusi na ubaradhuli hayatokusaidia
Tatizo Elimu, Elimu, Elimu
Alijisemea lowasa
 
Imeniumiza mno mno naitafakari familia yake ...hakika binadamu tunatembea na kifo kwenye viganja vyetu vya mkono hatujui hata sekunde 10 zijazo jina linaweza badilika likawa marehemu.
 
Kila taaluma ina uwasilishaji wake ulitaka aandike kama bar vicha anatoa tamko

USSR
Wewe unaona sarufi alizotumia zipo sahihi officially?

Hivi mzee kifimbo cheza wa "sani" alipotelea wapi?
 
Sijui ni kwanini waTanzania tunapenda sana ujuaji......yaani unaacha kuzingatia mambo ya misingi katika jambo la msingi unazingatia vitu vingine having msingi.......??

Katika hali ya kughafirika mtu unapoteza umakini wa mambo........

NB
Yule bwana mpita inawezekana kapona, tusipende kubishana mambo yaliyo nje upeo wetu kwa kutumia utashi wetu......Mungu naye ana shani zake.......
 
Madogo Sana,?

Flame- frame
Itirafu- hitilafu
Sheli ya puma- petrol station ya puma

Wana Hali sio nzuri Sana - Wana Hali mbaya

Yaani makosa kibao ya kisarufi na kilugha bado huoni ?
Wewe nae acha ujuaji wakati hujui kitu.
Petrol station ya puma-kituo cha mafuta cha puma.
 
Me too jamani nilitamani angekua mbio moja na huyo mwenzie wakanusurika
Mi nimeangalia kwa makini.

Inaonekana hakukandamizwa kwenye huo ukuta bali amepushiwa akabwagwa chini na kasi ya gari ikawa imepozwa na ukuta.

Ninavyoelewa mambo ya ajali, huyo jamaa yaweza kuwa "kudra" imemuokoa na baada ya shock ile akasimama na kujikung'uta mavumbi na kusepa ama amejeruhiwa kidogo tu.
 
Alivyonyenyuliwa na kubwagwa bila kukanyangwa ile ilikuwa ndiyo manusura yake, mi ajali nazijua vizuri.

Kama ni majeruhi, basi inaweza kuwa ni michubuko midogo tu.
 
Alivyonyenyuliwa na kubwagwa bila kukanyangwa ile ilikuwa ndiyo manusura yake, mi ajali nazijua vizuri.

Kama ni majeruhi, basi inaweza kuwa ni michubuko midogo tu.
 
Kuna picha inamuonyesha katupwa hapo mbele ya gari kajeruhiwa vibaya sana
 
Uandishi mbaya sana huu. Haueleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…