Kama kuwatafutia wanawake waume wenye heri nao na kuwatafutia wanaume wake wenye heri nao ili waowane huo ni udalali basi huo ni udalali wenye heri kubwa kabisa kwani unasaidia kuondoa zinaa na uasherati. Ma Shaa Allah.
Sifahamu ya kanisani, unaweza kutoa ushauri kama unayafahamu ya kanisani.
Kusingekuwepo na neno kuzini katika lugha ya kiswahili
Tofauti ipo wapi kati ya wafiraji na walawiti ili mstari huo ukubalike1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
Thats true bongo online dating all they think is sex sex. Hawana jipya wa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hahahaaa[emoji40][emoji40][emoji40] kwahiyo yupo mnyoa ndevu anakutumia tu wanamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.
Njoo kwangu hautojutia achana na online datingNataka niwe peke yangu.
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.
Kamuulize mchungaji wako maana wao ni wazoefu sana kwenye mambo hayo.Tofauti ipo wapi kati ya wafiraji na walawiti ili mstari huo ukubalike
MabajavgqjahMwanamke wa kuoa upate kwenye mtandao kweli? Umezalishwa una mashariti kibao ukutane na mtu mara moja tu awe mzuri, wazuri na wanaume wema huwapati humu.
Kwanza wanaogopa single maza, pili walishaoa tafuta wa kuku-service papuchi huku ukilea mtoto wako. Atapatikana mbele ya safari kama utakuwa na tabia njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uache kuleta hapa vitu usovijua. Hivi shule mlienda kujifunza ujinga?Kamuulize mchungaji wako maana wao ni wazoefu sana kwenye mambo hayo.
Sikusoma Sunday School. Wewe hukusoma Sunday School?Uache kuleta hapa vitu usovijua. Hivi shule mlienda kujifunza ujinga?
Stress zitakuua wewe Bibi ,Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.
Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa answapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
Mie dini kama yako bibieSikusoma Sunday School. Wewe hukusoma Sunday School?
Tafuta Kanisa kamuulize mchungaji wa hapo kanisani.Mie dini kama yako bibie