Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

kumbe ma sheikh sikuizi ni madalali wa wanawake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuwatafutia wanawake waume wenye heri nao na kuwatafutia wanaume wake wenye heri nao ili waowane huo ni udalali basi huo ni udalali wenye heri kubwa kabisa kwani unasaidia kuondoa zinaa na uasherati. Ma Shaa Allah.
 
Kusingekuwepo na neno kuzini katika lugha ya kiswahili

1 Wakorintho 6:
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Tofauti ipo wapi kati ya wafiraji na walawiti ili mstari huo ukubalike
 
Mbona wewe ni single maza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.

Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa answapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
 
Jina Firsclass..

Location.. Dar Es Salaaam.

Age 30

Elimu BTA

Kazi. Mtafutaji.. ( Sio Mwajiliwa )

Status Single

Familia Sina

Ukipendezwa nami, ni-alert!

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wewe ni single maza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.

Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa answapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
 
Daaaah....wanawakeee,usikute enzi za ubichibichi wako uliwazingua waoaji kwa kigezo cha muda bado na ukijaangalia unao uzur unao...na ukasahau haya mambo yanaenda na muda
 
Mwanamke wa kuoa upate kwenye mtandao kweli? Umezalishwa una mashariti kibao ukutane na mtu mara moja tu awe mzuri, wazuri na wanaume wema huwapati humu.
Kwanza wanaogopa single maza, pili walishaoa tafuta wa kuku-service papuchi huku ukilea mtoto wako. Atapatikana mbele ya safari kama utakuwa na tabia njema.

Mabajavgqjah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mmoja tu mwenye sifa hiyo duniani, mwanke Bora kuliko wote duniani, nae ni Mariam mama yake Yesu Kristo.

Hakuna mwanamke mwengine duniani mwenye sifa hiyo labda uwe poyoyo tu ndiyo uamini kuwa kuna mwanamke mwengine "single mother", kama mama'ko alikudanganya kuwa yeye ni "single mother" basi elewa alikuwa answapanga mstari wanaume na kachanganyikiwa haelewi wewe akupachike kwa nani na ndiyo maana kila mwanamme anaeingia kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko.
Stress zitakuua wewe Bibi ,

Menopause imekufika bado unabanduliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom