Mrejesho wangu wa tangazo la kutafuta mume humu

Tatizo hapa ni mimi kutafuta kuweka tangazo nakuwa considered kama reject, sidhani kama ingekuwa wa mtaani anayemfatilia hayo yaliyofanyika yasingekuwepo.
nilitaka kujua tu. unajua kuna vitu vingine tunafeli wenyewe. unakwenda date lazima ujikakamue kila sekta moja ikiwa ni ya mufuko. najaribu kupiga picha hiyo sehemu ilikuwa kuwa je?
 
Hapana sijala hela ya yoyote hata hao wawili nilionana nao mmoja alininunulia chips kavu na juice ya miwa Total sh 2 500 mwingine alikuja kituo cha basi labda gharama yake ni muda wake na nauli tu isiyozidi Tsh 2 000.

mnakosea wapi yaani kuonana mara ya kwanza kituo cha basi?? halafu jamaa wa chipsi kavu amekimbia gharama zako baada ya kujua hutoi papuchi....2,500 nyingi sana kipindi hiki hata wa buku mbili naye hivyo hivyo
 
Tatizo hapa ni mimi kutafuta kuweka tangazo nakuwa considered kama reject, sidhani kama ingekuwa wa mtaani anayemfatilia hayo yaliyofanyika yasingekuwepo.
una muonekano upi ? chura ipo?/.....hata mimi kuna kesi nyingi kama hizo kuingia mitini kwa mademu wa JF manake wanakuwaga hawana mvuto kabisa...hata nikiwagonga ni kwa kujilazimisha sana.....nafikiri watatu tu ndiyo walikuwa bomba
 
Anaekuona reject basi atakuwa mshamba. mambo siku hizi ni utandawazi.
kitu kingine sichukue kila neno unaloambiwa humu. utaishia kuumia tu. Tunaigiza sana tukiwa humu.
 
Mkuu unanichekesha sana ila usijali siwezi kusema mi mzuri na pia nauhakika ukiniona huwezi kusema mimi ni mbaya.
Inshort wa kawaida sana
una muonekano upi ? chura ipo?/.....hata mimi kuna kesi nyingi kama hizo kuingia mitini kwa mademu wa JF manake wanakuwaga hawana mvuto kabisa...hata nikiwagonga ni kwa kujilazimisha sana.....nafikiri watatu tu ndiyo walikuwa bomba
 
Kwa hiyo papuchi ilitakiwa tukubaliane kuwa nimpe kwa simu kabla hata hatujaonana? Yaani tunaonana na kupeana papuchi hapo hapo mhhhhh
mnakosea wapi yaani kuonana mara ya kwanza kituo cha basi?? halafu jamaa wa chipsi kavu amekimbia gharama zako baada ya kujua hutoi papuchi....2,500 nyingi sana kipindi hiki hata wa buku mbili naye hivyo hivyo
 
Ni PM kama utaweza kuwa mke wa pili na utakubali kuishi nje ya dar....
 
Hata mimi mpaka leo nimehangaika kutafuta mke lkn nimetoka kapa yani hola
 
Uliyezaa naye yuko wapi? Hawa wengi wao wakimuona waliyezaa naye hana mtu wala hawaleti varangati sasa ngoja wasikie/waone umepata mtu basi vurumai mara kwa mara ili kuharibu tu na ndiyo sababu kubwa ME wengi wakishajua KE ana mtoto basi wanakata kona labda kuwe kuna kitu kingine kilichomvutia au atakuwa anatoa ugwadu tu.
Unaonaje ukimuoa huyu kiongozi?
 
Huko online ngoja ukutane na mimi utajuta kuzaliwa nipo mitandao mikubwa ya dating na picha zangu sio za kweli jichanganye tuna saidiana na wa Nigeria
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.

Nilibahatika kuonana na wakaka wa wawili, hawa ni watu wazima kidogo miaka yao kuanzia 35 na kuendelea wa kwanza tulikutana magomeni tukaongea kupeana basic intro, wa pili tulionana alikuja mitaa ya nyumbani.

Ila hao wote nikiri tu walikuwa wanasisitiza ngono, muingiliano kimwili hata hatujajuana kivile na baadhi ya vitu hatujafahamiana wala kujuana tukaishia hewani.

Kwa kifupi ni kuwa humu kutafuta mume huwezi pata zaidi ya sex partner wanaume ni kama vile wanakuwa wanawinda wanawake, anyway kibongo bongo online dating bado sana, najiandaa kesho kwenda equity bank kufungua akaunti na kujiunga na online transactions nilipie dating sites za mambele huko naamini nitapata mume na nitaleta mrejesho humu.

Nadhani mtajiuliza wht online si mnajua tena single maza ubusy na nini na nini.
 
Duuuh....pole
 
Nawewe unakuwa humuombi akusaidie chochote... Kama hutotaka msaada wake wa chochote sawa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom