Mrema alikuwa anapeleka wapi pesa zake?

Kama kitu hujui usiandike, alizuga vipi kuwa Mwalimu wakati ni kweli Mwalimu? Au unadhani hiyo idara haina walimu wa kuwafundisha intake zao?
 
Nyerere njoo msasani uone mji wake,hekari nne kiwanja,nyerere hakuwa masikini,nyumba yake ya magomeni alijenga kabla ya uhuru imegeuzwa makumbusho ila nyumba kali sana ile
Kiraracha unapajua wewe
 
Mzee Mchonga ilibidi ajengewe nyumba na JKT alipostaafu Urais baada ya kukaa madarakani miaka 23.

Barabara ya Lami kutokea Kiabakari mpaka Butiama ilijengwa immediatey baada ya kifo chake ili kuficha aibu toka kwa wageni watakaohudhuria mazishi huko kijijini.

Hivyo kuna watu walikuwa wazalendo na wajamaa kweli kweli akiwemo Mrema.
 
Yule mzee alizidi
 
Nenda mrema nenda!!
Mwaka 1995 nilisimamishwa shule kisa nilipeperusha bendera ya NCCR-MAGEUZI.kwenye eneo la shule!
Huyu jamaa kama alikosa urais 1995,sijui kama Kuna siku mpinzani atakuja kitawala inchi hii
Ile vibe ya 1995 ilikuwa hatari sana,tulikaa tunasubiri aapishwe tukaambiwa amekuwa wa tatu nyuma ya mkapa na lipumba
 
Usikute hela yake alikuwa anafugia majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…