Mrema kaona mbali sana, sisi tunapiga mayowe tu kwa kutojua siasa makini

Atakayemgongea atavimba korodani! Mrema ni Nouma atiii!

Mzee kaweka wazi kabisa ameoa ili apate usaidizi kwenye nyakati zake ngumu za maradhi, hivyo sio eti atajikita kwenye wivu sijui kupeleka moto…. hayo ni mambo ya wavulana na bado wanamegewa vile vile.

The struggle amepitia baada ya kuondokewa mkewe imechagiza maamuzi yake, tungeheshimu hilo.
 
Aswaa Ana uza Ana biashara ya ma ua pembezoni mwanjia kuu
 
Vijana wa Bongo utawaweza? Hawawazi zaidi ya futi mbili kwenda mbele. Wao wanadhani ndoa maana yake ni ku-sex. Hawajui kuna watu wengi wanaishi kama wanandoa japo mambo ya sex siyo kipaumbele. BTW hawajui Mrema na huyu mama wamekutana lini na wamefanya nini kwenye maisha siku za nyuma. Mrema ni mtu aliyekuwa na wadhifa wa uwaziri, ubunge na kwenye uongozi amekuwepo siku nyingi. Si ajabu wanajuana tangu zamani na Mrema ameshamsaidia sana huyu mama kwenye shida.
 
Huyu Mrema hata kusimama na miguu miwili tabu, je ataiweza kusimama kwa huo mguu mmoja usiku?
 
22 years
 
Huyi mmama aliyemwoa ni mtu wake wa siku nyingi na ni mshauri wake makini sana. Mrema ndiye aliyemtoa.
Kwahiyo ndiye aliyetengeneza mazingira ya mwenzake kuondoka ili yeye achukue nafasi
 
Hakuna anayejua, tafuteni mtu anaitwa Precious Augustine. Ndio mtakaa kimyaaa
 

Nilifikiri labda unatoa ushuhuda huo utasema unamjua na hizo mali unazijua, kumbe unasikiliza anachosema kwenye TV

Kuna mtu hata mmoja hapa Tanzania anaaminika kwa kusikiliza anachosema?
 
Kwani kuwa na biashara ndio nini?

Kwani zinatengeneza faida? kiasi gani kwa mfano?

Wala mtu asikubabaishe Kwa kukwambia Eti Nina kampuni sijui biashara !

Muulize hali ya hiyo biashara au kampuni ikoje?
 
Huyo ni mtoto wa Mrema kwa mama huyo nini?
 
Ulipochanganya kwa ana makinda huyu Bibi hajawahi olewa uelewe Hilo anatambulika Kama spika mstaafu usichanganya mafaili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…