- Thread starter
- #41
Kweli aseee! Nimekumbuka! Ila mtoto anaye?Ulipochanganya kwa ana makinda huyu Bibi hajawahi olewa uelewe Hilo anatambulika Kama spika mstaafu usichanganya mafaili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aseee! Nimekumbuka! Ila mtoto anaye?Ulipochanganya kwa ana makinda huyu Bibi hajawahi olewa uelewe Hilo anatambulika Kama spika mstaafu usichanganya mafaili
Nyepesinyepesi, huyu Dori mke wa mtu aliolewa dar, Roman katorik, na baada ya mmewe Mushi kupunguzwa kazi kaondoka kaenda Moshi kufungua biashara, na ndugu zake hawakuwa kwenye harus, walikuwa marafiki zake tu.Mrema ni Mchaga makini sana. Anaweza kubalance biashara, maisha na siasa. Kwa kifupi Mrema ni mwanasiasa mfanyabiashara. Kila alifanyalo analiwekeza kwenye kupata.
Pamoja na kuwa mpinzani Mrema ameendelea kutambulika na kila Serikali tangu Enzi za Mkapa wakati Chama chake kilikuwa kinakula ruzuku tamu sanaaaaa!
Hapa Mrema anacheza na biashara ya kisiasa ninyi mnaona kaoa. Huyi mmama aliyemwoa ni mtu wake wa siku nyingi na ni mshauri wake makini sana. Mrema ndiye aliyemtoa.
Huyu mama wamekubaliana vizuri tu na Mrema kuwa kwa kuwa Mrema anazidi kuporomoka kiafya lakini bado anaihitaji Serikali kumsaidia.
Mrema atasaidiwa na Serikali kupitia huyu mama. Sio muda mrefu huyu mama atateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya au nafasi ingine yeyote ile. Huyu mama anaialika Serikali kumtunza Mrema kupitia yeye! Huyu mama hata Mrema akiondoka leo tayari Serikali imeshamwona.
Uliona Serikali hii imewahi kumtupa Mama Anne Makinda? Au uliona Mama Anna Abdala kuachwa? Je unamwona mama Samweli Sitta?
Mrema na huyu mama ni wajanja sana. Wanatengeneza brand kubwa - Mrema ni mtu wa Serikali hawezi kutupwa kamwe. Huyu anatakiwa kuendelea kuishi na huyu mama akiwezeshwa na Serikali basi Mrema ataishi zaidi!
Ni hayo tu kwa leo!