Uchidachi2025
Member
- Apr 26, 2025
- 85
- 66
Hao sio G55 bali ni J55. G55 wali malizana hoja zao zenye utata ndani ya chama chao na umoja wao ukaendelea. Hawa J55 (Jiondoe) wameondoka ndani ya chama chao hapasipo kutatua hoja zao na kwenda kujiunga na chama kingine.Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
View attachment 3338928
View attachment 3338927
G 55 ni Warombo siyo Wachaga 😂Zamani nilikuwa nafikir wachaga wote kabla Wana akili timamu
Huu uharamia wao walidhani CDM itatetereka, ndiyo kwanza Mwamba (Lissu) leo ameiamsha mioyo ya Watanzania mahakamani.....He looks strong
Acha ujinga wako wewe, Salum Mwalimu ni mromboG 55 ni Warombo siyo Wachaga 😂
Jabda wanataka kwenda kumpinduaNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
ULIWAHI KUSIKIA RUPIA KAKAMATWA KOKOTE KULE?sikuwahi sikia Joh Mrema kakamatwa kama wenzake, kumbe alikuwa mhuni
Wanaenda kupoteza muda wala hawana mvuto wowoteChaumma imekumbukwa kwenye mgao.
Wenzio wanataka wawe wabunge eti, hovyo kabisaNi kituko cha karne kukataa kuongozwa na Lissu na kukubali kuongozwa na Hashim Rungwe,
Sahihi kabisaChauma ndiyo inakwenda kufa rasmi,watatupwa kama Condomu iliyotumika
Mke wake wa 3 ni mrombo Suzan Macha 😁😁Acha ujinga wako wewe, Salum Mwalimu ni mrombo
Wamefuata BWABWA !Wakuu,
Informer wenu nipo kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekuja na hii taarifa ya ndani kabisa kutoka jikoni. Soon watatangaza rasmi.
Tukio hili lipo Golden Tulip, Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.
Anauza ama anaiba nakuuza wewe dada adriz ?Hashim rungwe anauza magari tangu 1970s kweusi..anajielewa