Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Daah namkumbuka aisee. Alikuwa mrembo kisha mtamu
 
Mbona muda tunajua, walikuwa wanabebishana kwenye harusi ya Seba diamond jubilee kipindi ndio yuko hot, huku komando naye yupo na G
Enzi hizo niko katoto nawaona [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpana sana wewe my baby, mji wote wako[emoji1787][emoji1787]
 
Mpana sana wewe my baby, mji wote wako[emoji1787][emoji1787]

Hamna hiyo ilikuwaga kitambo km sikosei 2004 nilienda kwenye hiyo harusi ya Seba na dr Rose diamond ndio nikawaona Nargis na Kipanya wanachombezana mahaba km yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku komando anaperfom akishuka naye wanabebishana na G wake nakumbuka mpk dress ya komandoo ilikuwa gold, Nargis alivaa green apple alafu mguu wake mmoja km una shida!!
 
Kulikuwa na haja Gani ya kutoa jibu kama hilo? Demu anaonekana hayuko smart kichwani, ilitosha kupotezea tu swali kama hilo.
 
Kuna cha ajabu hapo? Walikua pale kino mtaani kabisa mda mrefu tu,kipi unashangaa
 
Suala ni kumkinai, sidhani kama ni nguvu za kiume.
 
Suala ni kumkinai, sidhani kama ni nguvu za kiume.
Haha................kwamba huwa tunashindwa kula mboga moja mwaka mzima πŸ˜…πŸ™Œ

Jamaa alijipendelea sana, naona mfalme Mswati ndiyo anajaribu kumsogelea kujaribu kuvunja record yake πŸ€ͺ
 
Haha................kwamba huwa tunashindwa kula mboga moja mwaka mzima [emoji28][emoji119]

Jamaa alijipendelea sana, naona mfalme Mswati ndiyo anajaribu kumsogelea kujaribu kuvunja record yake [emoji2957]
Mswati hawezi kufikia record ya kile chuma kwa kuchakata atakuwa alipiga 2000 na usheeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…