Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Sio yeye aliyeimba kwenye huo wimbo,yeye aliigiza kuimba tu na ile sauti ilikuwa ya kajala.Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Kumbe ndo yule nyimbo ya zali la mentali??Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Sikilizeni vizuri interview yake ya juzi amekanusha amesema hakuwa Kajala bali dada mmoja aliyeitwa MuniraSio yeye aliyeimba kwenye huo wimbo,yeye aliigiza kuimba tu na ile sauti ilikuwa ya kajala.
Wakati huo alikuwa na vijisenti piaSasa Masoud zama hizo akiwa na Nargis, alitoa wapi hela ilihali alikuwa hana ile kampuni ya Motors?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna hiyo ilikuwaga kitambo km sikosei 2004 nilienda kwenye hiyo harusi ya Seba na dr Rose diamond ndio nikawaona Nargis na Kipanya wanachombezana mahaba km yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku komando anaperfom akishuka naye wanabebishana na G wake nakumbuka mpk dress ya komandoo ilikuwa gold, Nargis alivaa green apple alafu mguu wake mmoja km una shida!!
Oooh hapooo sawaaa.Yellow banana
With Ray Kigosi
Oooh hapoo sawaah.Yellow Banana Na Ray Pia
Mbna ni hatariii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani enzi hizo wee...balaaa ,Nargis Mohammed na Masudi
Masoud Kipanya ni Shehe sidhani kama aweza kufanya hivyo au hamuioni sigda kwenye paji la uso?.Source: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.
Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
TBC na akina Msigwa msitotoe nje ya jambo letu, jueni bado tunakomaa DP World.Source: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.
Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
Huyu ndiyo mdogo wake Vanessa? Simfahamu vizuri, ndiyo kwanza nimem Google.Kiranga unamuonaje mtoto mzuri Mimi Mars? Hujawahi kuwa na hisia naye japo kidogo?
Mtoto kakua siku hizi huyu.