Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Sio yeye aliyeimba kwenye huo wimbo,yeye aliigiza kuimba tu na ile sauti ilikuwa ya kajala.
 
Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Kumbe ndo yule nyimbo ya zali la mentali??
Nilikuwa naielewa sana hilii pisi,
Mwenye handle yake insta aniwekee nikamchungulie
 
Sasa Masoud zama hizo akiwa na Nargis, alitoa wapi hela ilihali alikuwa hana ile kampuni ya Motors?
Wakati huo alikuwa na vijisenti pia
Enzi za gari Mark 2 balloon tena
Enzi hizo mgahawa wa steers mjini
Unatamba,kila mrembo lazima aende hapo akategeshe

Ova
 
Hamna hiyo ilikuwaga kitambo km sikosei 2004 nilienda kwenye hiyo harusi ya Seba na dr Rose diamond ndio nikawaona Nargis na Kipanya wanachombezana mahaba km yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku komando anaperfom akishuka naye wanabebishana na G wake nakumbuka mpk dress ya komandoo ilikuwa gold, Nargis alivaa green apple alafu mguu wake mmoja km una shida!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
Masoud Kipanya ni Shehe sidhani kama aweza kufanya hivyo au hamuioni sigda kwenye paji la uso?.
 
images (2).jpeg
images (1).jpeg
 
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
TBC na akina Msigwa msitotoe nje ya jambo letu, jueni bado tunakomaa DP World.
 
Mtoto kakua siku hizi huyu.

Nakumbuka alikuwa mdogo anasoma Esacs Academy Mbezi Tangi Bovu.

Alikuwa akiniona anajichekesha anataka kuniamkia hapo hapo anataka kujifanya mkubwa.

Siku moja kabla sijasafiri kuja Marekani nikakutana naye Empire hapo, nikamwambia mimi nakipa kitu kesho.

Nikapata ma hug ya little sister ya baraka za kuagia kwetu, good luck charm, nimeaga kwetu mpaka kwa socialites, sishindwi kitu.
 
Back
Top Bottom