Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Sio yeye aliyeimba kwenye huo wimbo,yeye aliigiza kuimba tu na ile sauti ilikuwa ya kajala.Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.