Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jiwe alikua anajitahidi anaongea cha kikemia...Unabaki Kusema You Know Kama Jiwe Vile
Aisee Yaani Unabaki Kama Mtoto Anabyojikojolea HadharaniNgeli😄
Sio kipimo cha akili ila ni kigezo muhimu sana kama unafanya vitu kimataifaKwani kujua lugha ya kingereza ni kipimo cha akili mkuu?
Kingereza ni lugha tu kama Kisukuma, au Kiswahili.
SureWamekalia umbea tu na majungu,,muda wa kujifunza lugha hawana.
Ila angeongea tu kiswahili, angejitokeza mtu amtafsirie.
Kiukweli kiingereza ni tatizo kwa asilimia kubwa ya sisi Watanzania.
Ila mimi ningezuga jina linauma😂😂Mambo ni mengi mtani...😆
Yeah, ni kweli angepiga kiswahili tu.Wamekalia umbea tu na majungu,,muda wa kujifunza lugha hawana.
Ila angeongea tu kiswahili, angejitokeza mtu amtafsirie.
Kiukweli kiingereza ni tatizo kwa asilimia kubwa ya sisi Watanzania.
Hahahahaha😂😂😂Aisee Yaani Unabaki Kama Mtoto Anabyojikojolea Hadharani
Eti tuthi tuthi.....😅😅😅nimechekaaIla mimi ningezuga jina linauma😂😂
Naonyesha kwa kidole mdomoni, 'tuth, tuth', kwa shida huku nimeshika shavu😂
Sahihi.Kutokujua Kiingereza sio kesi kwangu maana hapo home sio chaguo letu hiyo lugha ya malkia.
Nchi nyingi huwa wanafikiri Watanzania wanafahamu Kingereza 😁Sioni tatizo labda kama alikwenda kwenye mashindano ya kuongea kingereza hapo kwangu ingekuwa shida.
Upo sahihi kwa kazi yake ilitakiwa aanze kujifunza hata moja ya lugha za kimataifa ili imsaidie kwenye kazi zake sema kwa mazingira yetu nadhani mkuu unayajua vizuri hasa kwa hawa ambao wana vipaji vya urembo harafu shule kidogo inakua changamoto..Sahihi.
Ila pia inaonyesha ni kiasi gani unatoka Kimataifa.
Lilikua ni tukio ambalo lugha ya mawasiliano ilikua ni Kingereza, kwa sababu lilikua ni tukio la Kimataifa lililohusisha watu wa mataifa mbalimbali. Hivyo ingekua ni vyema kwake iwapo angeambatana na mkalimani.Sioni tatizo labda kama alikwenda kwenye mashindano ya kuongea kingereza hapo kwangu ingekuwa shida.
Angeenda kwa Ras Simba ampige brash. Jamaa kawapiga brash ya lugha celebrities wengi hapa bongo. Angalau ngeli ya kuombea maji inakua haipigi chenga.Upo sahihi kwa kazi yake ilitakiwa aanze kujifunza hata moja ya lugha za kimataifa ili imsaidie kwenye kazi zake sema kwa mazingira yetu nadhani mkuu unayajua vizuri hasa kwa hawa ambao wana vipaji vya urembo harafu shule kidogo inakua changamoto..
Umewahi msikia huyo 'mama yako' akiwa anapiga ngeli?😂Ila huyu mtoto ni mzuri balaa kuanzia umbo hadi sura. Kafanana na Irene Uwoya enzi za ujana wake. Kuhusu kuongea kiingereza ni ulemavu kama ilivyo watanzania wengi. Hata Heche umkurupushe ghafla aongee kiingereza dakika 3 mfululizo lazima achanganye na Kikurya huku akitaja Katiba mpya kuua soo..
Ras Simba yupo vizuri sana alianza utani utani tu nimeshangaa mpaka mikoani yupo bhana.Angeenda kwa Ras Simba ampige brash. Jamaa kawapiga brash ya lugha celebrities wengi hapa bongo. Angalau ngeli ya kuombea maji inakua haipigi chenga.