Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026


Kichwa maji. Kasi kuliwa kisamvu tu
 
Mbona hakuna ajabu hapo.... Kwani lazima ajieleze kwa lugha ya Kigheni? Japo napinga sana hawa nyumbu kupata umaarufu coz of mionekano yao
 
Weeee mchezo kuhojiwa na chaka chaka aaah unaitwa unabaki "am not the mwenyewe" aaah
 
Huyo ana usanii gani
Aise tz watu wasiyokuwa na fani kabebwa na urembo tu
Kujirusha mtandaoni anapewa airtime

Chakachaka yuko active sana na sharp

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…