Mrembo Rushayna ashindwa kujieleza kwa kingereza katika tukio la Kimataifa la Mashariki creative Expo 2026

Huyu ndiyo yule kifaa cha 'Ashura" cheupe?
 
Hautakiwi kuwapinga mkuu, bali unatakiwa kuwatafuna😂
Ni kweli kabisa Kigogo ila binafsi,aina hizi za wanawake hua sijui hua nawachukulia vipi? Mbwembwe kibao na kumbe empty headed........ Kwani angejieleza Kiswahili tu,angenyongwa? Nafuatilia sana kipindi fulani hivi kinarushwa ITV kinaitwa DW Afirmax,Kuna pisi kule za mataifa makubwa tu lakini hata How are you hawajui
 
Eti naye msaniii kawa aise tz
🤣

Ova
 
Angeenda na mkalimani, sio kosa kutojua kingereza.
Ishu sio ukalimani haya ndio matokeo ya kuwapa watu umaarufu kwa mambo ya kijinga.

Mtu ukiwa na makebo makubwa tu tayari celebrity , haya sasa tunaumbuka kweupe kama hivyo.

Mtu kama huyo anaweza kukudhalilisha kumbe hata kuongea kingereza hajui.
 
Watu weusi na minywele yenu migumu mna shida, kumbe katika lugha
 
Ishu sio ukalimani haya ndio matokeo ya kuwapa watu umaarufu kwa mambo ya kijinga.

Mtu ukiwa na makebo makubwa tu tayari celebrity , haya sasa tunaumbuka kweupe kama hivyo.

Mtu kama huyo anaweza kukudhalilisha kumbe hata kuongea kingereza hajui.
Mfumo wenu si ndiyo umewapaisha
Sasa huyu usanii kaanza lini
Tatizo tz 97% ya wadangaji ndiyo wasanii
Mwisho wa siku wakienda kwenye hafla,mikutano mikubwa wanaumbuka
Alichoulizwa hapo hakuna msanii wenu au hao ma top
Mnao waona wangeeeza kujibu
Sasa huyo chakachaka aende kenya au rwanda
Atakutana na mambo tofauti

Ova
 
Mbona nimeona wameandika kwa kiswahili(Mashariki)? Nimesikia kama ameulizwa kama anapata mirabaha kwenye films/series ambazo amefanya ,naona kuna mmoja akimjibu kwamba ni kwa muziki tu ,naye Huyo Mama(Chakachaka) akasema kwamba wanataka pia kwenye films/series nk kuwe na royalties.


Angejibu tu kwa kiswahili ,mbona huyo chakachaka na yeye hajui kiswahili?
 
Huyu ndio aende akashindane Hollywood na akina Lupita Nyong'o🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…