Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kazi za kuteuliwa huwa ni ngumu sana unaweza kutenguliwa muda wwte......
 
No one is indispensable anywhere that's why we all come and go. Someday even the today's appointing authority will painfully abdicate his throne.
 

Kumbe hukuona jinsi alivyokuwa anasakamwa?!
 
HATA KUSHINDWA UCHAGUZI NI MIPANGO YA MUNGU, HAKUNA HAJA YA KUYAPINGA MATOKEO;
 
Hiki kimama inawezekana ndiyo kilikuwa kinamtegea kama mgodi wake au kinamtumia kama ATM
Kwani ameshindwa kuandaliwa akiwa mkuu wa mkoa hivyo hivyo ninyi watu huyo ndio imetoka mama.
 
Tunaongelea kuhusu kutumbuliwa kutoka ofisi ya RC, hayo mengine anajua mungu
Hayo ni maandalizi ya jambo jingine,usifurahie kwamba yamkini yamemkuta,unaweza kuta ndo anasonga mbele kuliko ufikiriavyo
 
Msifurahie hili la gambo
Kuna jambo
Kuweni na kiasi
Linalokuja mtashangazwa
Si bure
Hajaondolewa kwa sababu kashindwa bali ni mkakati wa kuchukua Arusha kutoka kwa Lema
Huyu atapewa kazi nyingine
Tuwe na kiasi
Wenzie waliotumbuliwa nae wao hawaandaliwi hilo jambo unalolijua wewe..kwa kipi hasa alichofanya gambo?
 
utakufa na pressure mkuu, kunywa maji kwanza ulelax, hakuna kijana mpenda maendeleo kama huyo kihongosi, hapa iringa kaleta maendeleo kupita hata wabunge wenyewe, nina imani kubwa huko arusha wataneemeka na uongozi wake,
Huyu kihongosi nae ni mtumishi wa ile idara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…