Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kazi za kuteuliwa huwa ni ngumu sana unaweza kutenguliwa muda wwte......
 
No one is indispensable anywhere that's why we all come and go. Someday even the today's appointing authority will painfully abdicate his throne.
 
Umekuja vema,
Wewe unaamini ni kweli Lema amezuiwa kushiriki shughuli za maendeleo?

Na je unaamini kwamba Lema anaeza kuzibwa mdomo kwenye jambo la Maendeleo?kama aliweza kufight apewe utambuzi kwenye ile hosipital aliyotafuta wadhamini yeye, basi tambua tuu hakuna wa kumzuia wala kumziba mdomo Lema anavotaka kupitisha jambo lake,kwa mantiki hiyo Lema ajashiriki kwa lolote kwenye maendeleo ya jimbo sio tuu kimchango bali hata uwepo wa moja kwa moja
Kwenye mapambano ya Corona ajajionyesha kwa lolote,hata uhamasishaji alipoulizwa,alinukuliwa akisema Ajapewa mwaliko n mkuu wa mkoa.
Soko la samunge liliungua juzi,ulimuona?
Tusijadili kishabiki,Lema ni Uvundo kwa wana Arusha.

Kumbe hukuona jinsi alivyokuwa anasakamwa?!
 
HATA KUSHINDWA UCHAGUZI NI MIPANGO YA MUNGU, HAKUNA HAJA YA KUYAPINGA MATOKEO;
 
Hiki kimama inawezekana ndiyo kilikuwa kinamtegea kama mgodi wake au kinamtumia kama ATM
Kwani ameshindwa kuandaliwa akiwa mkuu wa mkoa hivyo hivyo ninyi watu huyo ndio imetoka mama.
 
Tunaongelea kuhusu kutumbuliwa kutoka ofisi ya RC, hayo mengine anajua mungu
Hayo ni maandalizi ya jambo jingine,usifurahie kwamba yamkini yamemkuta,unaweza kuta ndo anasonga mbele kuliko ufikiriavyo
 
Msifurahie hili la gambo
Kuna jambo
Kuweni na kiasi
Linalokuja mtashangazwa
Si bure
Hajaondolewa kwa sababu kashindwa bali ni mkakati wa kuchukua Arusha kutoka kwa Lema
Huyu atapewa kazi nyingine
Tuwe na kiasi
Wenzie waliotumbuliwa nae wao hawaandaliwi hilo jambo unalolijua wewe..kwa kipi hasa alichofanya gambo?
 
utakufa na pressure mkuu, kunywa maji kwanza ulelax, hakuna kijana mpenda maendeleo kama huyo kihongosi, hapa iringa kaleta maendeleo kupita hata wabunge wenyewe, nina imani kubwa huko arusha wataneemeka na uongozi wake,
Huyu kihongosi nae ni mtumishi wa ile idara
 
Back
Top Bottom