Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ruhususi mikutano ndio uje kuongea unachoongea.. miaka mitano mnafanya mikutano Nyie .. mmewafunga wakina lema, mmewanunua wabunge ila bado mnaogopa na mnajiaminisha upinzani umekufa.Hapana,lema alishindwa kubadilisha mfumo wa siasa zake,,kwa mfano angekuwa vizuri na diwani Nanyaro angekuwa angalau ana matumaini...maana huyo nanyaro ni mjanja.. hata km hamna siasa kila siku yuko masokoni akizungumza na wananchi...sasa lema ajui ku renew policy.
Mkuu na huku upo tena?kule kwenye Battle unalaumu watu kwa kutokuijua Dar,sasa unanilaumi mie tena kwa kutokuijua Arusha..haya mkuu tueleze sasa!You know nothing about Arusha you better shut your mouth
Kampeni haziko mbali,mtaruhusuwa tuu mkuu,tuone Mafriko.Ruhususi mikutano ndio uje kuongea unachoongea.. miaka mitano mnafanya mikutano Nyie .. mmewafunga wakina lema, mmewanunua wabunge ila bado mnaogopa na mnajiaminisha upinzani umekufa.
Unalipua Mochwari halafu unajitapa umeua.
Mafriko[emoji3582]Kampeni haziko mbali,mtaruhusuwa tuu mkuu,tuone Mafriko.
Haikuhusu vipi wakati hapa unamjadili?Haituhusu
Acha kujitoa Akili hao wapinzani wakionekana majimbon RPC, OCD, Anawabana utafikiri waalifu...Wakiuzuria mikutano ya kikazi na kiserikali mnakuja na jezi za kijani...Mwenyekit wenu anawatukana...Siasa za hoja ccm Ni weupe Safishen upinzani kwa mtutu wa Bunduki...SI mnatumia dollar kubaki madarakan!!mmekwisha mwaka huu niwaambie tu wapinzani, karibia majimbo yote ya upinzani hakuna maendeleo kwanza hampo majimboni kutwa kuchwa kwenye social networks kulalamika ovyo ovyo tunafanya operesheni safisha uchafu
Ndiyo nilitaka kuelewa hilo kiundani na lini kadhia hiyo imetokea!Kwa ufupi....RC...DC na mkurugenzi wa jiji la arusha wametumbuliwa na kesho wanaapishwa viongozi wapya.
Ukituliza macho, vinabebana.Title ya thread na content ni irrelevant.
Nayo TV umeiweka kundi la mitandao ya kijamii?Ukituliza macho, vinabebana.
Kifupi nilikuwa safarini bila kuangalia chochote zaidi ya sa24.
Nilipofungua Jf sikuona chochote kinachosadifu kilichotangazwa kwenye tv.
Vyote vyote uvijuavyo ndiyo, ikiwemo tv.Nayo TV umeiweka kundi la mitandao ya kijamii?