Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Huu ugomvi mwisho wake ndio umefika. Wakapumzike kwenye kazi nyingine
 
Rais magufuli amafanya uteuzi wa mkuu mpya wa mkoa wa Arusha..pamoja na mkuu mpya wa wilaya kukasimu nafasi ya Gabriel Daqaro...pia sanjari na hayo amefanya uteuzi wa mkurugenzi wa jiji....kukasimu nafasi ya Dkt.Madeni
 

Attachments

  • FB_IMG_15925884871874239.jpg
    FB_IMG_15925884871874239.jpg
    26.6 KB · Views: 1
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania afanya uteuzi wa Nafasi tatu za mkuu wa mkoa wa Arusha...mrisho Gambo.....mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqaro.... pamoja na mkurugenzi wa jiji Dkt.Madeni
 

Attachments

  • FB_IMG_15925884871874239.jpg
    FB_IMG_15925884871874239.jpg
    26.6 KB · Views: 1
Makongoro Nyerere alishinda ubunge enzi hizo hapo Arusha mjini sababu ya Influence ya NCCR Mageuzi enzi hizo chini ya Mrema + watu walikua wanamheshimu dingi yake ila usawa huu Arusha mjini uwe sio mwenyeji/kabila la pale kupata Jimbo ni ndoto aiseeeee.

Miaka ya 80’s ulikuwa mji was wafanyabiashara wa kisomali na wahindi lakini wachaga wengi wa Moshi mjini walihamia Arusha kinana alishinda miaka ile
 
Back
Top Bottom