Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Arusha mjini, Moshi mjini haya majimbo lazma yarudi Ccm, hata umoja wa mataifa uingilie kati lazma yarudi ccm tu yaani..

Lema tafuta chaka lingine mzee...
 
Magufuli mimi simpendi.
Ila kuna ka uzuri kake ambako mimi nakapenda kale "ka kutokuwa na ushikaji na mtu,ukizingua anakulamba".
Haka ni ka uzuri ka raisi ila simpendi na simkubali.
 
Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????
Kwani alikuwa nani kabla ya kuwa RC?
 
Miaka ya 80’s ulikuwa mji was wafanyabiashara wa kisomali na wahindi lakini wachaga wengi wa Moshi mjini walihamia Arusha kinana alishinda miaka ile

Sure kipindi kile wasomali walikua na nguvu sana pale mjini kati,ila kwa sasa kama sio Mchaga ni kisanga aisee.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha atenguliwa. Juzi kati Mrisho alienda Dar kumuomba Makonda amuombee msamaha kwa Magufuli lakini akakwama. Waliongozana kwenye kikao cha UVCCM pale Mnazi mmoja akajifanya kumsifia Magufuli.. Yote yameshindikana.

TAKUKURU walipoenda Arusha nikasema kuna watu wanaondoka.

Nmekumbuka Maneno ya Godbless Lema. Hakika Mungu ndo anapanga kesho yetu.

Taarifa kwa umma: Matumizi mabaya ya madaraka ya Mrisho Gambo, Arusha
View attachment 1483610
Kwani na yeye Lema hapangiwi kesho?
 
Huu uzi unaenda kasi sana na wachangiaji walio wengi wanawabeza waliotenguliwa bila kujua kwamba kila jambo na wakati wake na kila mtu na mapungufu yake ila ya hawa ni kwamba yalikua tu hadharani na hatujui mapungufu yetu tulio wengi yaliyojificha.
 
Duuh, RC, DC, DED.. hapa kuna dili walikuwa wamepanga wote, labda hilo la ubunge, mtu umepewa uRC unahangaika na ubunge ya nini? Sasa kakosa yote. Pia ugomvi usioisha kati hao watatu, RC haelewani na DED & DC.
Hii inafanana na wizara ya Mambo ya ndani Waziri, Katibu mkuu, kamishna generali wa Zimamoto wote waliliwa vichwa.
 
Back
Top Bottom