LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
cheo Ni dhamana, muda mwingi alikuwa akirushiana maneno na viongozi wenzake akiwemo mbunge, mkuu Wa wilaya, mkurugenzi nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaandaliwa kugombea Arusha ili wakaongeze mda wa sie kulimia meno.Si ndio alisema vijana wa CCM wakizeeka wanakuwa wachawi
Arusha kuna nini? RC, DC na DED wote kwa mkupuo? Kutakuwa kuna tatizo
Kosa lake nini mmoja wa watoto pendwa wa mheshimiwa.
Hao inaonekana kuna mchongo walikuwa wanapiga kwa pamoja, ndio maana wote wametenguliwa.
Kazana mkuu , usikate tamaaHuyo ndo atakua mbunge wa Arusha mjini. Anaandaliwa kuwa Waziri
Atarudi kwa kofia kama au zaidi ya hiyo aliyotumbuliwa!Mmmmm sidhani...ameharibu huyu Gambo bye bye
HahahahaahahaaWala hata sio mbabe, bali limbukeni mpenda sifa.
Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????
Kwani ameshindwa kuandaliwa akiwa mkuu wa mkoa hivyo hivyo ninyi watu huyo ndio imetoka mama.Huyo ndo atakua mbunge wa Arusha mjini. Anaandaliwa kuwa Waziri