Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Kumbe wewe jamaa ni zwazwa kiasi hiki!!??
Hujui kitu na wewe ndio zwazwa!

Kwa akili yako unafikiri bashite akitenguliwa kipindi hiki itatoa picha gani?

Tatizo akili zenu mlishawakabidhi kina Zitto hata uwezo wa kufikiri hamna.
 
IMG_8598.JPG



Hii post ingawa hajataja yuko tayali kwa nn but ni wazi alimaanisha kwa ajili ya kugombea ubunge jimbo la Arusha

Nadhan ndo imemkwaza mkuu
 
Mradi mkubwa huu umechukua fedha nyingi sana! Ila kuna wanaojidai hawaoni fedha zinapoelekea.
 
Lipeni Moyo tu
Limepigwa chini,na ndio limepotezwa kwenye Siasa za Bongo
Bashite nae ajiangalie sana, Jiwe kwa sasa anataka sifa kwa wananchi,anaweza mwaga mtu yeyote
Na pia anaweza kukamata yeyote , wastaafu wajiangalie
 
Mwenzako anaelekea kwenye uwaziri...atagombea ubunge...hayo mautaratibu sijui ya majina kukatwa kwenye chama hayamuhusu!

Ubunge wa Arusha kisha uwaziri...

Everyday is Saturday........................ 😎
Ingekuwa hivyo asingetenguliwa kwa kutenguliwa amerudishwa nyuma kisiasa. Pia asingetengua vigogo wengine wa Arusha
 
Wote watatu Migogoro zao zisizokiwisha hatimae zimewagharimu, Poleni!
 
Back
Top Bottom