Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
mkuu uwe na huruma kidogoAkakague mradi wa maji ya bomba wa nyumbani kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu uwe na huruma kidogoAkakague mradi wa maji ya bomba wa nyumbani kwao
Wee tumbua kipele chako icho kilichoiva inatoshaMe ndio mag mwenyewe!
Namtumbua, subiri uone...
Dagaro na madeni wanasitaafishwa kama Kapilimba wanakwenda uraiani hakuna kuwarejesha kazini tenaWalikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????
Sarakasi hizo za uchaguzi,hao watoto pendwa usitegemeeMmmmm sidhani...ameharibu huyu Gambo bye bye
Naibu Rais ndugu Daud Bashite anamuandalia cheo kipyaSasa ndo atajua kina nani ni marafiki zake wa kweli? Alikuwa anajiona Bashite part two.
Hajakomolewa kuna sinema inachezwa kumhadaa LemaDogo huo utenguzi ni wa kimkakati,! Naona kwa akili zako unafikiri Gambo kakomolewa
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Anarudi kwa mgongo mwingine wa kuwa waziri kupitia ubungePole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.
Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Kipo cheo cha kudumu kama cha Naibu Rais ndugu Daudi Bashite, huyo hata akijisaidia pale sokoni kkoo live hakuna wa kumtumbua, cheo cha Bashite siyo dhamanaPole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.
Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Angalia hiiUtaona atakako ibukia, unafurahi unadhani safari yake imeishia hapo, dunia mipango ndugu
Mrisho gambo atateuliwa uwaziri baada ya uchaguziPole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.
Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Hivi magesa mulongu sijui mulugo yuko wapi mkuuBado Happy na Kasesera
Duh, matusi dharau hizoUvccm wakizeeka watakuwa wachawi by Mrisho Gambo!
Jtatu kuna nini? why not on sunday, today?tusubiri Rais mwenyewe atasema sababu jumatatu, namkubali sana huwa hafichi kitu
Hivi tangia uchaguzi wa vyama vingi, kuna masai, mmeru, muarusha ashawahi kuwa Mbunge hapo Arusha Mjini?Sikushangai we ndio wale wale mnatokea kishimundu,mnasema mmetokea Arusha..leta statistics...achana na habari za wamachinga wa stand.
Warangi wenyewe wanaoishi pale ngarenaro ni wengi kuliko hivyo vichagga hapo stand lakini huwa hawakani wanapotaka
Ukisikia kesho waziri? Huyu ni mpendwa wa Jiwe, untouchable... kama Makonda hawana tofauti!Pole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.
Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Tamaa Mjomba