Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Mrisho Gambo atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Arusha

Walikuwa wakitunishiana misuli. Dc huku, Rc huku na mkurugenzi kule. Sasa kawatimua wote. Atakae umia ni Gambo. Kweli ukiua kwa upanga lazima ufe kwa upanga. Gambo alimchongea Ntibenda akaondolewa Arusha kama mwizi. Sasa nae kaondoka kama paka.
Daqaro na Madeni wata rudi kwenye jazi zao. Gambo je????
Dagaro na madeni wanasitaafishwa kama Kapilimba wanakwenda uraiani hakuna kuwarejesha kazini tena
 
Pole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.

Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Kipo cheo cha kudumu kama cha Naibu Rais ndugu Daudi Bashite, huyo hata akijisaidia pale sokoni kkoo live hakuna wa kumtumbua, cheo cha Bashite siyo dhamana
 
Sikushangai we ndio wale wale mnatokea kishimundu,mnasema mmetokea Arusha..leta statistics...achana na habari za wamachinga wa stand.

Warangi wenyewe wanaoishi pale ngarenaro ni wengi kuliko hivyo vichagga hapo stand lakini huwa hawakani wanapotaka
Hivi tangia uchaguzi wa vyama vingi, kuna masai, mmeru, muarusha ashawahi kuwa Mbunge hapo Arusha Mjini?
 
Pole sana Mheshimiwa Mrisho Gambo, umevuna ulichopanda. Wenye madaraka wote jifunzeni kilio cha mnaowaonea Mungu husikia.

Kumbukeni vyeo vyenu ni dhamana.
Ukisikia kesho waziri? Huyu ni mpendwa wa Jiwe, untouchable... kama Makonda hawana tofauti!
 
Duuh!! kweli kazi za kuteuliwa nomaaaa
Yaani nimelala nimeamka kuna mtu katumbuliwaa.
 
Back
Top Bottom