Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo: Kwa gharama yoyote lazima Jimbo la Arusha lirudi CCM

Nenda mahakamani tukutane huko!
 
Kuhamasisha vurugu ni maoni? Muda mwingine muwe mnaona aibu hata kidogo, angekuwa mpinzani hapo angesakwa mpaka na vifaru,kwa kuwa huyo ni was kwetu ametoa maoni
Ni kweli kabisaaaa, CCM itafakari kauli zake
 
Kijana wa Arusha,Dar na yule wa Manyara wanachangia kwa 99% Mkuu wa kaya kuonekana huwa hamaanishi anachoongea.

Ni ajabu sana Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa kuhamasisha vurugu na uvunjifu wa amani tena bila hata soni mbele ya kamera.

Hawa vijana wamechangia pakubwa sana Mkuu kupoteza mvuto machoni pa wananchi,sijui kama analijua hili!

Aibu,aibu!!
 
Niliwahi kusema CHADEMA ya wakati huu imeonyesha ukomavu na utulivu wa kutosha kukabidhiwa dola.

Zile tabia za fujo na kauli za kijinga sasa zimebebwa na vijana wa ajabu ajabu kama hawa ndani ya CCM.

CHADEMA inaonekana imetulia na imekomaa zaidi,kwanza inahamasisha utulivu na umoja wa kitaifa. Tofauti na watani zao wa jadi kwasasa ni kauli za kuvuruga na kuchochea kubaguana tu.

Nashangaa sana eti chama kinachotawala kinakuwa na woga wa aina hii huku vyama pinzani vikionesha ukomavu wa hali ya juu!
 
mjiandae kuuwawa na kutupwa maporini wana arusha he he he jamani miaka ya hawa jamaa itapita lini haya mauwaji yao tumechoka atii
 
haju
i hapo anagonga cheers za jacky daniels.............
 
Nimejiunga CCM Rasmi ili kukitafutia chama Kura mwaka 2020. Hakika nimeziunga Juhudi Za Rais Wangu Magufuli katika kuiletea Tanzania Maendeleo. Na Maendeleo hayana Vyama.
Tukusaidie nini sasa
 
Baada ya Kushinda Kuzima Kila aina ya Maandamano na Wanaharakati..Sasa wanauhakika Wa kupora haki ya yeyote na Wasifanywe Chochote..
albadili zinawarudia wanafanya mambo ya aibu bila kujielewa ulimwengu mzima unawazomea
 
Reactions: prs
Huyu Gambo naona kama anaanza kuchanganyikiwa..... anapenda siasa ila siasa haimpendi.
 
Dodoma majimbo yote ni ccm lakini wote wamekuwa ombaomba
Hahahahahahahahaha!!! nimeikubali hii hoja. Hata nilikozaliwa ccm inaongoza tangu uhuru lkn ni masikini wa kutupwa. Ukifika kijijini wanakupiga mkuki (kuomba 500) sasa hapo jiulize wanataka kuongoza ili kupata nini au wanataka watanzania wote wawe masikini na wasijitambue na kujua haki zao.
 
Sio wapo Tayari hata kuuwa "" Sema wapo Tayari Kuendelea Kufanya Mauaji "" Wame Muua Akwilina..Kwaajili Ya kupora" Haki Kwenye Changuzi Mara Hii Umesha Sahau Mkuu....?
 
Kauli mbiu ya magufuli hiyo maendeleo mtayasikia huko kwa kenyatta huku tunawekeza kwenye kutawala tu.

Yakiambiwa yameiba kura,kukimbia na viapo kupiga wapinzani yanabisha yenyewe yanatoa siri.
Kama Wamerogwa"" ....Sasa Hizo si Kauli Za Uchochezi Hizo " Maana Hapo Itabidi Wananchi Ambao Wapo Vyama Pinzani Nao Waanze Kujiandaa" Kupambana na Hao walioagizwa Kufanya Fujo...
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…