Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

Rais ametoka ccm, Waziri mkuu ametoka ccm, Spika ametoka ccm, bunge 99% ccm, tokea uhuru almost miaka 60 ccm yupo madarakani Ila lawama anapewa chadema, aliyewaloga wa Tanzania ni kiboko
Na kafa, nyenyere huyo.
 
Tatizo Gambo ana maadui hadi ndani ya Chama. Hata CCM Arusha hapendwi na wengi. Kiufupi hakuna muujiza wowote wa Gambo kupenya kura za maoni 2025. Labda CCM iwe tayari kurudisha jimbo upinzani kwa kulazimisha Gambo awe mgombea. Mbunge asiyeelewana na karibia viongozi wote wa juu Arusha hafai.
 
2025 Gambo atagombea Ilala kwa ticket ya Chadema
 
Jamani hebu tuambizane kuhusu hizi Siasa za kuwekana sumu na kupigana Risasi hivi zipo kweli au Sumaye alitania tu aliposema Sumu haionjwi?

Huko Arusha Watu wanawekewa hadi condoms majumbani kwao kiukweli hali ni tete

Labda ndiyo sababu Lema alikimbia na family yote hadi Beki 3
 
Kamanda Mawazo, mwanajamvi Saanane, viroba kule Coco beach, Lissu marisasi, Akwilina dada yetu kule kinondoni, watu tukaongea tukaonekana tuna gubu, tumemuachia Mungu, sasa mimmbuzi inakulana nyama, na bado
 
Muosha huoshwa.Ampigie simu Lema amjulie hali na kumuomba msamaha kiume.
 
Rais ametoka ccm, Waziri mkuu ametoka ccm, Spika ametoka ccm, bunge 99% ccm, tokea uhuru almost miaka 60 ccm yupo madarakani Ila lawama anapewa chadema, aliyewaloga wa Tanzania ni kiboko
Umesoma jina lake?Hayanaga aibu wala akili.Miili mikuuubwaaa ila ni kama li-redio likuubwaa halafu bendi moja.
 

Atafute bodyguard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…