NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Na kafa, nyenyere huyo.Rais ametoka ccm, Waziri mkuu ametoka ccm, Spika ametoka ccm, bunge 99% ccm, tokea uhuru almost miaka 60 ccm yupo madarakani Ila lawama anapewa chadema, aliyewaloga wa Tanzania ni kiboko