Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Unaipataje taaluma bila ya kupewa cheti??Vyeti sio taaluma.wenzetu walishatoka kwenye kuangalia vyeti
[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaipataje taaluma bila ya kupewa cheti??Vyeti sio taaluma.wenzetu walishatoka kwenye kuangalia vyeti
Kuna siku live watamkataa marehemu kuwa hakuwa raia[emoji23][emoji23]Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Issue ni vyeti FEKI.Jeshi sio chombo cha kitaaluma. Ni chombo cha kazi.
Huwezi kuajiri dokta aliyefoji vyeti, ataua watu!
Hivi huyu firauni alifanya niniDah ama kweli ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni
Je kuforge vyeti ni halali au sio halali?Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
Kweli umechanganyikiwa.Issue ni vyeti FEKI.
Yoyote mwenye cheti feki ana HATIA.
Huna akili wewe.Kweli umechanganyikiwa.
Kila kazi ina vigezo vyake vya kitaaluma.
Na kila kigezo cha kitaaluma kimewekwa kwa malengo mahususi ya kudhibiti na kulinda ufanisi wa kazi.
Jeshi huhitaji hata cheti cha fom foo! Ni maguvu yako tu.
Lakini daktari au mwalimu! HAPANA, lazima uwe na taaluma halali inayotambulika na kukubalika katika viwango vilivyowekwa!
Hii yote ni kuhaha kuchafua legacy ya magufuli, bila kujua wanajichafua wenyewe! Kwanza they are lucky hawakufunguliwa mashitaka!Dude
How stupid can you be
Unabariki fraud?
I thought you were intelligent
Kumbe na wewe ni fraud worshiper
Mwizi wa cheti, pesa, haki na hata ideas ni mwizi Tu
Vyeti feki ni wezi wa taaluma na matapeli wa weledi
And you are one of them
Btw, why did you gorge your certificates?
Hivyo vyeti si vilikaguliwa vikabainika kua ni feki,Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
UTakua mjinga pekee uliyebaki, kama mlitumbuliwa na kufikia uchaguzi mkashindwa na kupitisha wabunge wote wa CCm, sasa ndo unawaza miaka mitano watu watakua wameshasahau mambo ya vyeti feki.CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.
Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.
Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Potelea mbali.Huna akili wewe.
Nadhani Jeshi unalisikia tu wala hata huna na hujawahi kuwa na ndugu wala rafiki mwanajeshi.
Narudia huna akili.
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Umeandika kinyume chake....ukweli ni kuwa yeyote yule atakayekwenda kinyume na falsafa za JPM na pengine kumponda waziwazi, nakwambia hawezi kupita uchaguzi wa 2025...CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.
Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.
Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Wewe utakuwa NI mmoja waliotolewa kea vyeti fekiHayati atabaki hana rafiki huko aliko na hapa duniani.
Ila roho yako ya kutumia vyeti vya watu wengine ndio nzuriNadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Africa , hata Idd Amini hafiki , laana kubwa sana !
hapo Bureau de change, kuna RC mmoja alikuwa akifanya uporaji hadharani.Waliobomolewa nyumba zao walipwe fidia.
Waliofukuzwa vyeti warejeshewe au walipwe chao maana walitoa nguvu zao kutumika.
Wa bureau de change warejeshewe pesa zao