Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
Je kuforge vyeti ni halali au sio halali?
 
Issue ni vyeti FEKI.

Yoyote mwenye cheti feki ana HATIA.
Kweli umechanganyikiwa.

Kila kazi ina vigezo vyake vya kitaaluma.

Na kila kigezo cha kitaaluma kimewekwa kwa malengo mahususi ya kudhibiti na kulinda ufanisi wa kazi.

Jeshi huhitaji hata cheti cha fom foo! Ni maguvu yako tu (with few exceptions for few individuals at the top).

Lakini daktari au mwalimu! HAPANA, lazima uwe na taaluma halali inayotambulika na kukubalika katika viwango vilivyowekwa!
 
Kweli umechanganyikiwa.

Kila kazi ina vigezo vyake vya kitaaluma.

Na kila kigezo cha kitaaluma kimewekwa kwa malengo mahususi ya kudhibiti na kulinda ufanisi wa kazi.

Jeshi huhitaji hata cheti cha fom foo! Ni maguvu yako tu.

Lakini daktari au mwalimu! HAPANA, lazima uwe na taaluma halali inayotambulika na kukubalika katika viwango vilivyowekwa!
Huna akili wewe.

Nadhani Jeshi unalisikia tu wala hata huna na hujawahi kuwa na ndugu wala rafiki mwanajeshi.
Narudia huna akili.
 
Dude

How stupid can you be

Unabariki fraud?

I thought you were intelligent

Kumbe na wewe ni fraud worshiper

Mwizi wa cheti, pesa, haki na hata ideas ni mwizi Tu

Vyeti feki ni wezi wa taaluma na matapeli wa weledi

And you are one of them

Btw, why did you gorge your certificates?
Hii yote ni kuhaha kuchafua legacy ya magufuli, bila kujua wanajichafua wenyewe! Kwanza they are lucky hawakufunguliwa mashitaka!
 
Kushambulia mimi hakutakupatia umaarufu hapa jf , hivi unadhani kama Magufuli alilenga wenye vyeti feki ilikuwaje Makonda akabaki , nenda jeshini ukaone kama alifika huko , kwani wale si watumishi wa umma ? hujui kitu kuhusu jambo hili , huyu Gambo alikuwa RC anajua kuliko wewe , endelea kunitukana lakini unachokitafuta utakipata
Hivyo vyeti si vilikaguliwa vikabainika kua ni feki,
Sasa serikali kufanya jambo sahihi mnasema imekurupuka?
Sio kila upuuzi ni wa kushabikia mradi mkosoe regime iliyopita!
 
U
CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.

Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.

Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
UTakua mjinga pekee uliyebaki, kama mlitumbuliwa na kufikia uchaguzi mkashindwa na kupitisha wabunge wote wa CCm, sasa ndo unawaza miaka mitano watu watakua wameshasahau mambo ya vyeti feki.
Gambo anachofanya ni kujitahidi ili asijekutana na lema miaka ijayo hivy anajitahidi kutafuta huruma, maana kipindi hiki aliyemsaidia keshakufa, sasa anatafuta nguvu zake mwenyewe.
 
Huna akili wewe.

Nadhani Jeshi unalisikia tu wala hata huna na hujawahi kuwa na ndugu wala rafiki mwanajeshi.
Narudia huna akili.
Potelea mbali.

Usilete ujanja ujanja hapa!

Huwezi kuwa daktari mwenye elimu ya vyeti vya kugundisha kwa gundi.

Unaokota cheti hapa, kesho unaokota kingine kule unabandika na stepla.

HAPANA!
 
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi

Pumbavu sana hawa wanafiki, hawa wote mihula yao ikiisha ningetamani wasipewe uongozi maana huu unafiki ndiyo unaturudisha nyuma sana........
 
CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.

Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.

Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Umeandika kinyume chake....ukweli ni kuwa yeyote yule atakayekwenda kinyume na falsafa za JPM na pengine kumponda waziwazi, nakwambia hawezi kupita uchaguzi wa 2025...

Wote watalazimika kuimba mpendwa wetu hayati JPM aliyetangulia mbele za haki, tunatekeleza maono yake,...
 
Nchi ya wajinga hii hadi raha, kwamba mna hamasisha watu wasiende shule bali wakafoji vyeti wapate ajira, sio tu ajira tunaenda kutengeneza taifa la watu mbumbu, hivi tuna furahia ujinga huu kweli?
 
Waliobomolewa nyumba zao walipwe fidia.
Waliofukuzwa vyeti warejeshewe au walipwe chao maana walitoa nguvu zao kutumika.
Wa bureau de change warejeshewe pesa zao
hapo Bureau de change, kuna RC mmoja alikuwa akifanya uporaji hadharani.
 
Back
Top Bottom