Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Akatoe hizo statement kwenye page yake halafu asifunge comment. Humu hatuwezi kuongea na video
Dunia hii ni dynamic, unajua tu ulipotoka lkn unapoenda hupajui. Ulitegemea Pole pole atajificha kwenye screen? Wakati wa Magu hukumuona anavyotamba na dunia?
 
Akatoe hizo statement kwenye page yake halafu asifunge comment. Humu hatuwezi kuongea na video
Dunia hii ni dynamic, unajua tu ulipotoka lkn unapoenda hupajui. Ulitegemea Pole pole atajificha kwenye screen? Wakati wa Magu hukumuona anavyotamba na dunia?
 
Mpoto angeachwa atulie kwanza,kupoteza mke sio jambo dogo
 
Kucheka kwa zamu kumbe somo walilompa watu mara ya kwanza hakujifunza.

Soon ..very soon wataona madhara ya watu kukaa na chuki ya muda mrefu hasa waliotendewa ndivyo sivyo.

Hivi huyu rasta kipara anafikiri familia za watu kama Mzee Kibao, Soka, Mdude hii video leo haijawafikia pamoja na ndugu zao [ukoo,jamaa,marafiki]
 
Asitutoe kwenye reli hivi sasa ni sisi na wahuni mapapa na hatuna muda na vidagaa!
 
kichwa kimeganda kama kiporo cha ugali ,mwenye dhamana ya usalama wa raia na mali zao nani any way ninachoona is like rais wa Kongo hakujiandaa kwa jambo hili kubwa
 
Kwahiyo Mpoto Raisi hausiki na usalama wa nchi?
 
Haviwezi kulinda kila mtu, ila hawezi kuepuka lawama za vyombo vyake. Kama anapokea sifa, akubali na lawama
Tofauti na mnavomkomalia,mnaonekana kabisa man lenu jambo,mbona ujambazi hamkumlaumu mkapa,mauaji ya albino hamkumlaumu kikwete!?
 
Huyu anawaza kwa kutumia matako na sio kichwa.
 
Technically anasema Mama sio Amiri Jeshi Mkuu... statement yake ukiisogeza pale Kisutu ni rahisi sana akaunganishwa na Lissu..but I guess wahusika hawaoni impact ya Statement yake hiyo.
 
Mungu kwa nini
Mungu, Kwa nini ulimchukua yule mwanamke asiye na hatia ukaacha hili Bumunda?
 
Hajakoma huyu
 
Uyu Mungu alisha mkataa ,na amemkataa kweli , subiri siku moja atwaliwe kama watu hawataenda choma nyama juu ya kaburi lake , asema Bwana , yaliyomtekea juu ya kifo cha mke wake hajakoma ? Apunguze kamdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…