Mrithi wa Samia ana kazi nzito kurudisha uchumi wa Tanzania kwenye Mstari

Njoo bariadi mjini ushuudie kamatakamata ya pikipiki zenye plate namba nyeuupe TRA ni balaa sana.boda boda hawana hamu,siku ya mbina (Ngoma)waliwakamata kinoma Tena Kwa kuviziwa ,yaani unaviziwa unaenda kupata huduma ktk ofisi zilizo jirani wanakudaka, Sasa Cha ajabu pesa zikienda huko serikalini zinaibiwa ovyo ovyo tu,jamani kuweni na huruma nasi jamani kitaa pagumu sana

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Watu mmekaa ofisini mnaongelea uchumi
Uchumi gani wakati amfanyi biashara
Njoo kwenye biashara baada ya miezi 6 utajilaumu ulichoandika

Mwacheni Samia afanye kazi
 
Well said
 
Akíli za kichwa panzi hizi
 
NDIO wagalatia wanakua na KAZI nzito ya kuwatia watu katika viroba na kuwatupa katika MiTo
Wagalatia wanakua na KAZI nzito kupora pesa za watu waliohangaika Kwa jasho Lao nakuzitaifisha
Wagalatia Wana kazi nzito kuuwa uoinzani na kuwanunua wapinzani

Makofi Kwa wagalatia please
 
Unataka kusema marais wa kiislama wanaharibu uchumi sana wa Nchi kuliko wa Kikrsto?
 
Kwa kusaidia angalia ongezeko la deni la taifa kipindi kile na sasa.

Mkuu mbona umekimbilia kushambulia yule wakati wala hajatajwa? 😁😁😁

Anyway...yule aliongeza ngapi kwenye deni la taifa kwa miaka yake yote 6 aliyokaa madarakani?

Na mama keshaongeza ngapi kwa miaka yake hii miwili+ aliyokaa madarakani pamoja na kuwa na mitozo hii ya kila aina?
 

Pumbavu
 
Uwe na adabu wewe kwa Rais wetu ,hata Kama umekosa malezi ya wazazi wako jaribu kuwa na heshima kwa mh Rais.usiandike hapa Kama mlevi wa gongo.
Hivi kweli wewe ni mzalendo kweli, nchi inamfumuko wa Bei kwa asilimia 120, Kodi nyingi ikiwemo TOZO, mtaani hakuna hela yaani Hanna mzinguko wowote, rushwa, na uwizi wa hela za imma, Sasa wanaiba Trillion sio Bilioni hayo yameonekana kwenye ripoti ya CAG

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mapimbi humu wanamsifu huyo Bibi balaa!
 
Wewe mpumbavu hujui misingi ya uchumi. Nenda uani kajisetiri halafu ukalale.

Uchumi kavuruga Magufuli, ila Rais Samia ndiyo anaujenga.
Anajenga nini huyo muimba taarabu.Maisha magumu kama tupo Somalia!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…