Msaada: Ananisugua kiganja nyakati za usiku nikiwa nimelala

Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Wewe unaamshwa ufanye kazi yako, huelewi.
 
Anahangaika na Nyota huyo ila sijui kusudi lake, muhimu angalia je akishakusugua ukienda kusaka pesa unazipata, ukioa mjanja halafu wewe mwanaume ukawa fala ni shida sana pole.

Au kama sio mwanga basi hio ni mbinu ya kukuamsha ili upige shoo mwanamke wa kiyao anapenda kumshibisha mwanaume shoo kali na yeye apate shoo la kibabe la kivietnam
 
Mithali 3:16​

Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.​

Imeisha hio sasa kama kuna wanga wanamnyemelea na kama mke husugua kulia basi ana malaika ndani lakini ikiwa ni kushoto imeisha hio
 
Mkuu huyo Mkeo anakuwa hajatosheka na mechi uliyokuwa umempa, hivyo anafanya hivyo kukuamsha ili muendelee

Saikolojia inaonesha Mwanamke hawezi kupata usingizi iwapo hajafika kibo wakati mna du, kwani huwa wanahisi maumivu

Jitahidi uwe unamfikisha Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibo
 
Inaonekana huo mkono unaingilia majukumu ya mtu hapo ndani.

Mambo ya Gizani hayawezi kufanyika kwenye Mwanga.
 
Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
siku hizi ukitaka kuoa uwe makini vijana wengi miaka hii wanaoa vigagula...
 
Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Anapata raha fulani wala hakuna baya hapo! Tena shukuru yeye anasugua kiganja/kiwiko.. Wengine wana tabia mbaya hamu zao huwatuma kusugua kwenye zakari [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu wana JF,

Kuna mapya nimeyaona baada ya kuingia kwa mara ya kwanza katika ndoa, nimeoa mwanamke kutoka huko Uyaoni Tunduru.

Ajabu yangu ni kwamba mara kadhaa nikistuka usingizini nakuta mke anasugua kiganja changu cha mkono wa kulia na hata nikikunja kiganja kwa mfano wa ngumi huwa anabana katika mshipa wa fahamu baina ya kiganja na mkono mwishowe lazima utafungua ngumi yako na atasugua eneo la kati ya kiganja.

Niliamua kumchunguza kwa muda mrefu haachi na sijui nini maana yake, naomba msaada kujuzwa na mwenye kujua ni nini habari hii, ni nini maana na sababu ya kufanyiwa haya kusuguliwa kiganja!
Sasa si umuulize mwenyewe aisee!!
 
Back
Top Bottom